enockino
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 273
- 171
Leo Tanzania imeungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya wafanya kazi dunia, hapa tanzania kitaifa yamefanyika Dodoma, katika mabango yalopita mbele ya mgeni rasmi rais wa JMT Dr. Magufuli liliandikwa "ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI ZIRUDISHWE WIZARA YA ELIMU"
NB: kwa sasa ziko Ofisi ya Raisi - TAMISEMI
NB: kwa sasa ziko Ofisi ya Raisi - TAMISEMI