Naomba ushauri kati ya FAW na shackman ipi gari nzuri katika biashara ya building materials kama kokoto mchanga n.k katika ubora na upatikanaji wa vifaa
Habari .nataka kuchukua mkopo wa truck naomba ushauri kati ya FAw na schackman hipi ni gari nzuri katika uimara au ubora na upatikanaji wa spare,biashara ya mchanga,kokoto,na construction work kiujumla.
Inasikitisha sana kwa kweli...sijui tunaelekea wapi...mwisho wa siku tunakuja kuambiwa uchumi umekua kwa asilimia 10.....wakati value of money is going down everyday....ukishika 10000 ...kama umeshika elfu 1000... this is very bad
Kama ww mtahalamu wa kiswahili katunge vitabu watu hata vya hadithi watu tusome ......hapa tunaitaji uchangie madat ....kwani nimetukana hapo...pa..mba..vu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.