Recent content by Nicky82

  1. Nicky82

    Huduma za Uber Dar hovyo, hakuna afadhali

    Mkuu hii kitu ipo. Juzi natoka Airport hadi mbezi beach nilipocheki wakati narequest ikaonyesha 14k-16k. Jamaa ananishusha ikaja 56k. Imesoma kwake na kwangu, nikiangalia route tuliyopita ni tofauti kabisa na uhalisia. Nikamwambia nakupa 30k na nareport Uber maana haikuwa kawaida. Niliporeport...
  2. Nicky82

    Nimeitwa Kwenye Network Marketing

    Wapuuzi sana hao jamaa. Mtu anakuita unafikiri anakuitia kitu cha maana unafika pale unaambiwa mambo ya Goodmorning....Aghrrrr inakera sana. Dawa yao hao ni kuwaambia ukweli vijana waache tamaa ya hela za kusadikika
  3. Nicky82

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    vodafone 875 locked to Vodacom tanzania bei gani mkuu?
  4. Nicky82

    Msaada ku-unlock Huawei modem e 173

    Mkuu Asante sana sana! nimefata steps zote na zimekubali. Ila ushauri kidogo hapo kwenye kurestore imei hakuna haja ya kuadd new port inabidi utumie ile ile tu
  5. Nicky82

    Census in good progress Ms Amina Mrisho, has expressed optimism on positive outcome

    huo ni uongo na uzushi........kuna kasoro nyingi sana hawataki kukiri.....mimi mwenyewe hapa sijahesabiwa, tena hapa sinza tu na watu kibao mtaani kwetu hawajahesabiwa hao makarani hawajafika....imebidi nimtafute rafiki yangu ambae ni karani ili aweze kuniandika kama mkazi wa hilo eneo aliko...
  6. Nicky82

    Familia ya Nd.Ally aliye uwawa na polisi kwa kupigwa risasi yaingia kwenye mvutano na Chadema

    Ndio maana naipenda JF, hii habari ilikuja jana hapa jamvini kama tetesi kuwa Familia imenunuliwa ili waseme hayo waliyosema sema. Sasa tunaweza thibisha kuwa haikuwa tetesi bali ni kweli tupu........Hawa familia wanafanya jambo baya sana, huku ni kumdhalilisha marehemu...
  7. Nicky82

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    kama ndo waandishi wa TBC wako hivi, no onder shirika linakufa taratibu.
  8. Nicky82

    Mnyika- live Mlimani Tv kuanzia saa mbili na nusu leo

    Mnyika: Tatizo la ajira ni bomu la wakati....anawashukuru watu wa ubung kwa heshima waliyompa na kipindi kimeisha
  9. Nicky82

    Mnyika- live Mlimani Tv kuanzia saa mbili na nusu leo

    Mnyika anasema siri yake ya kufanikiwa ni kuwa na maono na maadili(Values and Vision)
  10. Nicky82

    Mnyika- live Mlimani Tv kuanzia saa mbili na nusu leo

    Anajibu swali la yule wa mbagala kuwa hata wakati anagombea ubunge wapo waliosema atakuwa kama wale wale tu lakn kinachoendelea ni tofauti......anaomba support ya watu wa Znzb ili CDM nayo ifike huko
  11. Nicky82

    Mnyika- live Mlimani Tv kuanzia saa mbili na nusu leo

    Maulanga: tuendeleze mema na makosa yapo tujirekebishe tusonge....anawasisitiza CCM wenzake watimize wajibu, tatizo anakosa nidhamu anaambiwa anyamaze yy anaendelea
  12. Nicky82

    Mnyika- live Mlimani Tv kuanzia saa mbili na nusu leo

    Maulanga: kila mwananchi atimize wajibu wake na kila mtu atumie ataaluma yake kupush machinery ya serikali.....tuache kuihujumu nchi kwa kutotimiza wajibu
  13. Nicky82

    Mnyika- live Mlimani Tv kuanzia saa mbili na nusu leo

    Mwingine wa Tandale anasema CDM wakaze uzi japo wanapigwa vita ila taratibu taratibu watachukua nchi
  14. Nicky82

    Mnyika- live Mlimani Tv kuanzia saa mbili na nusu leo

    Kuna mwananchi wa mbagala anasema wananchi wawe macho na CDM sbb wakiingia madarakakni hawatatenda kama wanavyosema...watu wawaogope
  15. Nicky82

    Mnyika- live Mlimani Tv kuanzia saa mbili na nusu leo

    Mnyika: Watawala kwa sabb wao ndi wako kwenye madaraka kwa sasa wana jukumu la kuhakikisha udhibiti w hali ya maisha
Back
Top Bottom