Mnyika: Serikali kwa pamoja inapaswa kushughulikia gharama za maisha kwa pamoja....anatoa mfano wa kenya ambapo waziri mkuu na rais wanaongoza mapambano ya kushusha gharama za bei za bidhaa muhimu
Maulanga: kila mwananchi atimize wajibu wake na kila mtu atumie ataaluma yake kupush machinery ya serikali.....tuache kuihujumu nchi kwa kutotimiza wajibu
Anajibu swali la yule wa mbagala kuwa hata wakati anagombea ubunge wapo waliosema atakuwa kama wale wale tu lakn kinachoendelea ni tofauti......anaomba support ya watu wa Znzb ili CDM nayo ifike huko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.