Recent content by Nicky Mkinga

  1. N

    Sumatra waanza kuita kwenye usaili

    Tumeona asante kwa taarifa ndugu Mroso
  2. N

    'CHADEMA Mwanza' watoa Tamko kuyapinga maamuzi ya Kamati Kuu dhidi ya kina Zitto

    Hawa wahuni walitoa mpaka tarehe 4/12/2013 na ndio leo..Vip mbona wako kimia
  3. N

    'CHADEMA Mwanza' watoa Tamko kuyapinga maamuzi ya Kamati Kuu dhidi ya kina Zitto

    Pesa za ccm inayofadhili mtandao wa ZITTO kuvuruga CHADEMA leo kuna kikao kimefanyika hillfront hotel igoma jijini Mwanza kilichohutubiwa na kijana mmoja anaitwa Gwanchele aliyefukuzwa CHADEMA na kuhamia ADC mwaka jana aliyejitambulisha kama mwenyekiti wa BAVICHA kanda ya ziwa cheo ambacho...
  4. N

    DCI Manumba astaafu, Kamishna Isaya Mungulu Mkurugenzi mpya wa Upelelezi

    anakaimu na sio kama mleta taarifa alivyosema
  5. N

    Natangaza rasmi kugombea udiwani kata ya Igoma jijini Mwanza kupitia CHADEMA 2015

    Kutangaza nia ni haki ya mwanachama.....Igoma Imara Itapatikana chini ya Kamada MKINGA Jr....
  6. N

    Kutoka mahakama kuu Tabora Live

    Mungu atasimamia sehemu sahihi
  7. N

    Natangaza rasmi kugombea udiwani kata ya Igoma jijini Mwanza kupitia CHADEMA 2015

    hayo yote yatafanyika kwa hali na mali......
  8. N

    Zitto: Najuta kususia bajeti kuu ya serikali!

    Ilaumu serikali hata cdm wangekuepo isingekuwa na impact
  9. N

    Natangaza rasmi kugombea udiwani kata ya Igoma jijini Mwanza kupitia CHADEMA 2015

    Asante sana ndugu yangu...Ushauri wako umezingatiwa..Na mwenyezi Mungu Akubariki
  10. N

    Kamanda Mawazo kuongoza uzinduzi kampeni udiwani Nyampulukano - Sengerema

    Na imani kubwa hizo kata za Nyampulukano na Lugata chini ya usimamizi wa kamanda shupavu Alphonce Mawazo zote ziko upande wetu.
Back
Top Bottom