'CHADEMA Mwanza' watoa Tamko kuyapinga maamuzi ya Kamati Kuu dhidi ya kina Zitto

Huyu muandishi ukimuuliza source ya hii habari atakwambia nimeipata fb, twitter na jf.
Waandishi wa kudanganywa na 'vibajia'
 
Dah ama kweli nchi yetu ina serikali nyingi, kumbe hata mwanza kuna serikali inayoweza kutoa amri ya watu fulani wasitembelee Mwanza?

Ndio maana walisema Wakale,UKISHANGAA YA MUSSA UTAONA YA FIRAUNI.
Haya ni maneno tu ya kuuza magazeti.
Wakati wa kifo cha CHACHA WANGWE maneno mengi mabaya na ya Matisho yalitolewa dhidi ya viongozi wa CDM,Freeman Mbowe(Mwenyekiti) na Dr Wilbrod Slaa (Katibu) na kwamba wakikanyaga Tarime Watauawa na wao!!
Kila mtu ni shahidi kua sio tu kwamba Mbowe na Dr Slaa walishiriki huo msiba lakini pia baada ya Mazishi ya Chacha Wangwe,na tume ya taifa ya Uchaguzi kutangaza tarehe ya uchaguzi mdogo ktk jimbo la Tarime,Viongozi hawa PENDWA wa Chadema walishiriki ktk kampeni za uchaguzi huo na kuipatia chama ushindi wa kishindo.

Zitto sio kuwa hata amekufa basi,ila amevuliwa madaraka kwa makosa yalio wazi na alikiri na kuomba ajiuzulu mwenyewe. Sasa mkituletea Ngonjera za magazeti hapa huoni mnakosea.

Chadema ni taasisi na haitegemei umaarufu wa mtu mmojammoja ili kiendelee kusonga mbele. Kwa hiyo kusema Mbowe na Slaa wamepigwa marufuku kukanyaga Mwanza ni uzushi tu. Hakuna mwenye uwezo huo.
 
Hapo ndio ujue katika taifa hili dr Slaa na Mboye ni viongozi wa upinzani wa kweli. Ndio maana hata hawajazungumza kitu watu wanaweweseka, serikali inahangaika. Kiongozi wa upinzani hata siku moja hawezi kupendwa na serikali iliyopo madarakani. Hiyo ni sifa moja kubwa sana. Linganisha hayo kwa Zitto na waheshimiwa Slaa na Mboye.
 
ivi mods na ruttashobolwa, hamuwezi kufanya mpango na sisi wana jf tukatoa tamko la kulaani kamati kuu ?kama hamtaki basi tutoe tamko la kuunga mkoni kamati kuu ili nasi tuonekane tumo ....rutta , fanya mpango tuonekane kwenye luninga jamani...khaaaaaaaaaaa
 
Mnahangaika na huyu kiwete wa kujitakia aliyejikata vidole ili awe maarufu kisiasa! Pumbafu yake, usaliti utamtokea matakoni awamu hii, inaonekana hajapeleka hela kwa mganga! Nyamafu kabisa.
 
Hii ni vita Kati ya CHADEMA WAZALENDO dhidi ya CHADEMA WAGANGA NJAA!
Ni lazima kuleta utulivu ndani ya chama,tumtafute mfadhili wa mgogoro huu tumfutilie mbali tuone kama nyie waganga njaa hamtakuja kuomba radhi!
Jamani thibitini matumbo yenu,njaa mbaya!
 
Huu ni mpango wa c.c.c.m. ambao ulikuwa unaratibiwa na Z.i.t.o.ndani ya C.H.A.D.E.M.A, kinachoonekana sasa kwa wanaojitokeza kukurupuka kuropoka hivi, ni wale waliokuwa wametengenezwa na C.C.C.M na Z.i.t.o. kwamba ilikuwa inaandaliwa siku hao wote wajivue kutoka chama chao C.H.A.D.E.M.A. ili kukiua. Kwa maana hiyo maamuzi ya C.H.A.D.E.M.A. yamekuja wakati mzuri (ingawa mimi nafikiri walichelewa, Z.i.t.o. alikuwa atoke na akina J.u.lia.na sho. onza kwa kuwa walifanya tukio la wazi kabisa) ndiyo maana hawajui wafanye nini kwa sasa na wataandika paper nyingi sana zinazoeditiwa na Z.i.t.o. na C.C.C.M tunaendelea kungoja kufahamu mtandao ulivyokaa.
Kilichofanywa na C.H.A.D.E.M.A. ni maamuzi ambayo hayakutegemewa hivi sasa na yeye Z.i.t.o. pamoja na C.C.C.M. Wanachofanya sasa, hao wanaoandikaandika, ni kutapatapa tu huku wakingoja nini cha kufanya kwa maelekezo ya Z.i.t.o. na C.C.C.M.

Kuropoka huku ni mbinu ya haraka haraka ya akina Z.I.T.O. kuona wanaweza kufanya nini kwa kufanya hivyo kwa huko kuropoka (yaani wanajiuliza kama wanaweza kuivunja C.H.A.D.E.M.A. kwa haraka haraka kutokana na haya maamuzi ya C.H.A.D.E.M.A. ambayo yamevuruga mpango wao na hivyo kushindwa kufika malengo). Mpango wa muda mrefu bado haujakamilika kuwa wafanye nini. Kwa mawazo yangu, kubwa itakuwa ni kuanzisha chama kutaka kujaribu kuwatoa baadhi ya wanachama wa C.H.A.D.E.M.A, hata hivyo atapaswa kuwa makini kwa kuwa watu wengi wanamwona msaliti mno hivyo anaweza saliti hata chama chake. Kwenda c.c.c.m si rahisi kwa kuwa atashuka thamani sana, atakuwa sio target tena, wamchukue akafanye nini, si ataenda kupambana kwenye majimbo ya c.c.c.m na zile kura za maoni kama zinakumbukwa, hivyo nafikiri kete yake ilikuonekana ana thamani c.c.c.m ni kuanzisha kajichama ili aonekane kuwa bado anapambana na C.H.A.D.E.M.A.

Kwa hawa wanaoendelea kuropoka yawezekana walishakula fedha za kutosha na hawawezi kuacha kutekeleza walichokipanga kufanya kwa commitment walizofanya, hivyo they are dying hard, tusubiri tuone mlolongo huo wa Z.i.t.o.. nimecheka sana kuona mchangiaji wa kwanza amesema, wako 44 mpaka waishe, tungangoja insha zao hapa na kwenye vyombo vya habari.
Lakini kuna uwezekano mkubwa kunakitu kinaendelea maeneo mbalimbali, kujaribu kuwashawishi watu wa Iringa, Mbeya, na sehemu nyingine nao wafanye matukio yoyote yanayohusiana na kupinga C.H.A.D.E.M.A.. Hata hivyo kwa uimara wa C.H.A.D.E.M.A. muda si mrefu kuna watu watasema ukweli jinsi wanavyorubuniwa, ni mawazo yangu.


Basi vyama vilivyopita vilikuwa vikipigwa wimbi kama hili ndio chama kimekufa, INATAKIWA KUTOFAUTISHA C.H.A.D.E.M.A.NA VYAMA VINGINE, CHADEMA INAONEKANA IMEJIPANGA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom