Picha: Ndalichako, anzia hapa kwenye ukaguzi wa ubora wa vitabu nchini

The hammer

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,396
1,784
Vitabu vingi vilivyochapishwa na kuhaririwa na Watanzania kutoka vitabu vya nje vingi vina upotoshaji mkubwa.
Nimeanza kuviangalia hivi vichache kwanza vya shule ya msingi kisha nitakuja vya sekondari

angalia namba mbili juu kabisa katika sayansi

Kwa somo la historia nililoliweka hapa ni kuwa mfundishaji haelewi ni kitabu kipi ni sahihi zaidi.

Kwenye mitihani ndo pabovu zaidi...
1454927073564.jpg
1454927160087.jpg
kitabu.jpg
 
Duh. Yaani unafundisha halafu hujaelewa hilo swala la conversion ya carbohydrates. Dah elimu yetuuuuu
 
Duh. Yaani unafundisha halafu hujaelewa hilo swala la conversion ya carbohydrates. Dah elimu yetuuuuu
We umeelewa lakini,hebu pitia pitia daftari zako za wakati huo..Hata google haiwezi kukuangusha kihivyo
 
wee ukisoma ivyo vitabu unaelewa?
yaani mie nafundisha biochem ila apo sijaelewa alitaka kusema nini.
Halafu wanafunzi wakifeli wanalalamikiwa walimu hawafundishi.Najaribu kufikiria mtunzi wa kitabu hiki alisomea nini au alisoma hadi la ngapi maana usikute ni watoto wao wa form two ndio waliopewa tenda hii ya kutunga vitabu vya shule za msingi.
 
Inawezekana hata tafsiri wanagoogle ndio wanaandika!
 
Aina za familia zinatofautiana, mwanafunzi akifeli hata sio wakumlaumu
 
Hata kama ni elimu bure,hivyo vitabu vinavyopotosha vilipitishwa vipi kutumika?

Mbatia alipowaambia wavipitie vyote upya walimuona mzushi, lakini all this is because wamewapa watu waandike vitabu bila kuzingatia uwezo wao isipokuwa urafiki na uswahiba
 
Aina za familia zinatofautiana, mwanafunzi akifeli hata sio wakumlaumu

Sijui hata kule Feza wanafundishwa hivihivi? lakini ili waweze kurithisha vyeo na nyadhifa kwa familia zao moja ya mbinu ni kuwapa sumu watoto wa walala hoi ili wasijekuwa na uwezo zaidi, na hizo publications ndiyo ushahidi tosha
 
Back
Top Bottom