Madiwani Chadema walipuana.

Madiwani Chadema walipuana.

Madiwani wawili wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamelipuana katika kikao cha Baraza la Madiwani Jiji la Mwanza, baada ya Diwani wa Igoma, Adamu Chagulani kumtuhumu mwenzake wa Kata ya Pamba Samwel Range kuwa ameghushi stakabadhi za kukusanyia malipo katika masoko yaliyopo katika kata yake.

Tafrani hiyo ilizuka jana katika kikao kilichokuwa kinajadili namna ya kupambana na taarifa zilizopo kuwa baadhi ya watendaji si waaminifu katika jiji hilo.

Chagulani, alisema kuwa watendaji hao wamekuwa wakichapisha stakabadhi feki kwa lengo la kuliibia jiji ili lisiweze kupata mapato kwa mujibu wa sheria.

Chanzo cha habari:
Gazeti la Kila siku la RAI, Ijumaa Novemba 8, 2013.
Ukurasa wa 7.

ANGALIZO:
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.
Amini amini nawaambia.,chama hiki kina LAANA kutoka kwa mungu mwenyewe...

Shonza wakati unafukuzwa Chadema ulituhumiwa na kundi lako akiwemo Chagulani kuwa ninyi ndio wasaliti wa Chadema. Chagulani anajulikana kwa michezo yake michafu na Meya feki wa CCM anayejiita Chadema - Matata. Shonza mnafahamika mlivyoingizwa kwenye chama chetu (CCM ) mkaanza kutumika kuchafua Chadema mpaka sisi CCM tukachukiwa na wananchi, nyie na Mwigulu na Nape kila pahala eti na kwenye UVCCM kaanzishwa ka cheo ili Mwampamba ateuliwe, ujue tuliokuwa CCM tangu siku nyingi hatupendi unatujengea mazingira ya kuchukiwa kwa sababu ya post zako zisizo na adabu kila siku, unajihusisha na mambo binafsi ya watu hata kama sio ya kisiasa. Gazeti unalolitaja tunajua jinsi mnavyolitumia, vijipesa vyenu, mliandika sana mambo ya Ludo, mkaandika sana hadi kusingizia Mama wa Zitto katekwa na vijana wa Chadema, kesi iliripotiwa buguruni mkaandika na kubadili maelezo kila baada ya siku tatu, hadi leo hiyo kesi mmekaa kimya, hatuisikii, unahangaisha watu na kusababisha CCM ichukiwe. Chadema walikushindwa huku nako kuvumilia kwetu kunakaribia mwisho. Uwe na aibu mtoto, unatumika sana.
 
Juliana Shonza,tangu lini Chagulani ni diwani wa Chadema?Chagulani kwa jinsi nijuavyo ni diwani wa mahakama.Juliana shonza ni chadema chenye laana kutoka kwa Mungu au ni wewe mwenye laana? Hata maandishi unayoandika yanaonyesha umelaaniwa toka kwa Mungu.Halafu wewe una tofauti gani na Yuda Iskariote aliyemsaliti Yesu? Tofauti kati yenu ni moja tu,yaani Yuda alikuwa mwanamme malaya aliyemsaliti Yesu ili awafurahishe mabwana zake waliomtuma na wewe Juliana Shonza ni mwanamke malaya uliyeisaliti Chadema ili kuwafurahisha mabwana zako waliokutuma ccm.Jambo moja mnalofanana ni kwamba wote wawili mmelaaniwa.Mwenzako alijinyonga na wewe subiri zamu yako utakapotelekezwa.

Wasaliti wa chadema ni nyie ambao mnamsakama zitto ili mumng'oe, asigombee uenyekiti wa chadema,NJEMU wote ambao mnafanya ujinga kwa ajilimya mtumbo yenu.
 
Shonza pole sana dada yangu, siku zote nilijua unapigwa mawe bila sababu kumbe leo nimegundua kichwani huna kitu

Tangu lini Diwani akawa mtendaji ? Diwani yeye kazi yake ni kusimamia maendeleo na kuwabana watendaji ? inaingia akilini kuwa Diwani anakusanya ushuru mpaka aghushi vitabu vya kukusanyia ushuru ?

Kabla uja post uchafu huu humu ungemuuliza aliyekupa habari , umesikia ujinga ukaongeza na ujinga kutuandikia mambo ya kipumbavu humu

kweli hii kali.....
hata majukumu ya Diwani hayajui na ya mweka hazina hayajui
kweli akili za kuambiwa CHANGANYA NA ZA KWAKO..... lkn zikiwa MBOVU lazima utaitwa KILAZA...
 
Kuna watu wanaitwa "masochic", au "macho" men/women, wanahitaji huduma inaitwa "masochisim", wakiwashwa, huhitaji kwanza kutukanwa, ndipo washughulikiwe!, sasa anawashwa, huanzisha thread jf, ili atukanwe, apate anachotaka!, nyinyi bila kujijua, mnamtukana kumbe ndio mnampatia anachotaka!.
P.
 
si kweli Chama hakiwezi kuwa na Laana, labda walio ndani ya chama ndio wanaweza kuwa na Laana.
hata hivyo laana ya baadhi ya viongozi wa Ccm ni zaidi kuliko laana za viongozi wa vyama vingine
Nadhani hauwafahamu viongozi wa Chadema, laiti kama ungeliwafahamu hata robo ya uhalisia wao usingelisema haya unayoyaongea leo hii. Mimi nafahamu uhalisia wa viongozi wa Chadema kwa asilimia zisizozidi 50% lakini nimeridhika kuwa watu hao ni wahuni., wababaishaji, watu wa hovyo ambao wamepotea njia na wanapoteza wengine. walafi, wapenda madaraka na wanafiki wakubwa wasiojali maslahi ya wengi bali hutanguliza maslahi yao binafsi na familia zao na koo zao.

Kama si laana basi yanayotokea Chadema hivi sasa yasingelitokea, bali Mwenyezi mungu kwa Upendo wake kwa watanzania akaamua kuwaonyesha kwa picha halisi juu ya ukweli na taswira halisi ya Viongozi hao ambapo aliwafitinisha na wakavuana nguo hadharani na kila mmoja wetu akashuhudia utupu wao.

Ni mtu ambae ana ngozi ya kenge tu ambae ataendelea kuwaamini watu wa hovyo kiasi hiki, vijana wamepanua vidole mpaka mwisho na sasa vidole vimeanza kuvimba bila manufaa wala matumaini yeyote. Watu hawa hawawezi kutoa matumaini ya aina yeyote kwa vijana, wanawake na hata wasomi wa nchi hii. Iweje na inawezekana vipi watu ambao elimu imewapiga chenga wakawa na uelewa juu ya umuhimu wa Elimu na wasomi. Changa la macho.
 
Kwa nini unamdhihaki Mungu kwa kumuandika kwa herufi ndogo?
 
ni kweli unaweza kuwajua viongoz wa CDM vizuri sn, kwa kasoro,matatizo na tabia ambazo wanazo.
lakini najiuliza.....
1. kwa nini hasira zako zipo ktk CDM hasa Post zako nyingi zinaonesha hivyo.
2. kwa nn usiwe una Post vitu ambayo ni Changamoto ambazo uanweza kuziwekea na USHAURI kwa faida ya watanzania wote na sio hujuma kwa CDM.
3. naamini unaweza kuwa kiongozi mzuri baadae kwa uzoefu na ujuzi ambao unao,
lakini nasikitishwa na CHUki ambazo bado unazo kwa CDM na JE hukiama CCM, nayo utaichukia ???.

dunia sio mbaya, wabaya watu
 
Shonza wakati unafukuzwa Chadema ulituhumiwa na kundi lako akiwemo Chagulani kuwa ninyi ndio wasaliti wa Chadema. Chagulani anajulikana kwa michezo yake michafu na Meya feki wa CCM anayejiita Chadema - Matata. Shonza mnafahamika mlivyoingizwa kwenye chama chetu (CCM ) mkaanza kutumika kuchafua Chadema mpaka sisi CCM tukachukiwa na wananchi, nyie na Mwigulu na Nape kila pahala eti na kwenye UVCCM kaanzishwa ka cheo ili Mwampamba ateuliwe, ujue tuliokuwa CCM tangu siku nyingi hatupendi unatujengea mazingira ya kuchukiwa kwa sababu ya post zako zisizo na adabu kila siku, unajihusisha na mambo binafsi ya watu hata kama sio ya kisiasa. Gazeti unalolitaja tunajua jinsi mnavyolitumia, vijipesa vyenu, mliandika sana mambo ya Ludo, mkaandika sana hadi kusingizia Mama wa Zitto katekwa na vijana wa Chadema, kesi iliripotiwa buguruni mkaandika na kubadili maelezo kila baada ya siku tatu, hadi leo hiyo kesi mmekaa kimya, hatuisikii, unahangaisha watu na kusababisha CCM ichukiwe. Chadema walikushindwa huku nako kuvumilia kwetu kunakaribia mwisho. Uwe na aibu mtoto, unatumika sana.

we ni mnafik sis hatuna wana ccm hovyo kama ww,na huko unakosema uko ccm ciyo hii ccm tunayo ijuwa labda uliyo anzisha na mama yako mzazi,Juliana anayajuwa madhambi yenu yote ndo mana mnamshambulia!!kiroboto mkubwa ww
 
Sasa matusi ya nini jamani. Mbona mimi nimewapasha habari kistaarabu kabisa. Au mmeshaamka na viroba na mbege kama kawaida yenu.?

utapokuwa mstaarabu labda,, kama uwezi siasa nenda kafanye biashara ya bar itakufa zaida, utakuwa unapayuka ovyo ovyo kila mdaa, alafu cyo kila mtu ni mnywaji wa mbege na viroba, kuwa na heshima binti.
 
Chadema utapeli ni jadi yao walianza tangu chama kinaanzishwa hadi kinakua utapeli unafanyika kuanzia kwa mwenyekiti mpaka bavicha.
 
utapokuwa mstaarabu labda,, kama uwezi siasa nenda kafanye biashara ya bar itakufa zaida, utakuwa unapayuka ovyo ovyo kila mdaa, alafu cyo kila mtu ni mnywaji wa mbege na viroba, kuwa na heshima binti.
Wewe tangu dada yako afanye kazi ya bar unadhani kila mtu anafanya kazi bar.
 
Bibie mrembo Shonza huoni kuwa taarifa yako hii is very contradictory?Ebu weka sawa hapo tuelewe kama mtuhumiwa ni mtendaji au diwani au ulimaanisha kwamba diwani ndiye mtendaji pia?

Mwongo ana kumbukumbu!?
 
Shonza pole sana dada yangu, siku zote nilijua unapigwa mawe bila sababu kumbe leo nimegundua kichwani huna kitu

Tangu lini Diwani akawa mtendaji ? Diwani yeye kazi yake ni kusimamia maendeleo na kuwabana watendaji ? inaingia akilini kuwa Diwani anakusanya ushuru mpaka aghushi vitabu vya kukusanyia ushuru ?

Kabla uja post uchafu huu humu ungemuuliza aliyekupa habari , umesikia ujinga ukaongeza na ujinga kutuandikia mambo ya kipumbavu humu
Umesema aka kabinti kanapigwaga mawe? Nilisikia na Mwigulu anakapigaga sasa sijui naye ni mawe au anakapiga nini
 
Nadhani hauwafahamu viongozi wa Chadema, laiti kama ungeliwafahamu hata robo ya uhalisia wao usingelisema haya unayoyaongea leo hii. Mimi nafahamu uhalisia wa viongozi wa Chadema kwa asilimia zisizozidi 50% lakini nimeridhika kuwa watu hao ni wahuni., wababaishaji, watu wa hovyo ambao wamepotea njia na wanapoteza wengine. walafi, wapenda madaraka na wanafiki wakubwa wasiojali maslahi ya wengi bali hutanguliza maslahi yao binafsi na familia zao na koo zao.

Kama si laana basi yanayotokea Chadema hivi sasa yasingelitokea, bali Mwenyezi mungu kwa Upendo wake kwa watanzania akaamua kuwaonyesha kwa picha halisi juu ya ukweli na taswira halisi ya Viongozi hao ambapo aliwafitinisha na wakavuana nguo hadharani na kila mmoja wetu akashuhudia utupu wao.

Ni mtu ambae ana ngozi ya kenge tu ambae ataendelea kuwaamini watu wa hovyo kiasi hiki, vijana wamepanua vidole mpaka mwisho na sasa vidole vimeanza kuvimba bila manufaa wala matumaini yeyote. Watu hawa hawawezi kutoa matumaini ya aina yeyote kwa vijana, wanawake na hata wasomi wa nchi hii. Iweje na inawezekana vipi watu ambao elimu imewapiga chenga wakawa na uelewa juu ya umuhimu wa Elimu na wasomi. Changa la macho.
Mkuu chadema walianza na shetani watamaliza na shetani kwa sasa wamefikia hatua ya kupigana matofari kwenye vikao baada ya wizi wao wanaoibiana pesa za ruzuku sasa wanatandikana.
 
Back
Top Bottom