Naleta kwenu huu mjadala ili tujadili kwa pamoja.
Kumekuwa na shida ya wazazi kusomesha watoto kwenye shule za gharama kubwa sana wakiwa na umri mdogo. Lakini je, ni wakati gani mtoto anatakiwa kupata msingi wa elimu? Na kumgharimu mzazi?
1.Kindergarden
2. Nursery
3.Primary
4.Secondary...
Serikali na ww,tafuta ufumbuzi kwanza ww,njoo na pendekezo la kuishauri taasisi husika (TANROADS au MANISPAA ).Tusaidiane kipata majibu badala ya kulalamika tu.
Mkuu,jitahidi unapoenda mahala jaribu sana kuilizia gest/hotel zenye utulivu na amani,bei nzuri na madhari pia.Inawezekana pia hapo buchosa mandhari yake siyo mazuri
Watanzania siku zote ni wavivu wa kusoma vitabu,hii imedhihirika hata hapa jf.Nilitegemea kwamba watu watamuunga mkono zitto na wengine wote wenye kusoma vitabu,matokeo yake tumekuwa watu wenye kejeri na maneno mengi yasiyo na mantiki,lakini tukumbuke kwamba siku zote maarifa hayaongezwi kwa...
Kuna tetesi kwamba mtu mmoja anayesadikiwa kwamba ni mme wake na mwenyekiti aliyeshinda wa mtaa wa igulwa ushirombo amechichwa kinyama na watu wasiojulikana jirani na nyumba yake,mauaji hayo yamefanyika wakati familia yake ikisherehekea ushindi wa kishindo alioupata mke wake kupitia chama...
Nimegundua kwamba suala hili litaishia njiani,na rais atakaporejea ataunda tume ya kuchunguza mchakato mzima,Ccm wamejipanga sana kutetea hoja hii.Lakini ole wao wanaotetea fedha iliyopotea kwa njia za udanganyifu maana mikono ya wananchi itawahukumu
Mkuu asante kwa kuliona hili,haya mabenki yetu yanatuona sisi watumishi kama mtaji wao,nilisikia kwamba NMB ilishinda tenda ya kutoa huduma za kibenki mikoani wakati kwa mkoa wa Dar es salaam CRDB walishinda,ndo maana huku mikoani bado fujo na NMB zipo,lakini ifikie mahala serikali yetu sikivu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.