zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Habari za jumapili?
Asubuh na mapema nimejidamka kuelekea kanisa la ufufuo na uzima ndani ya Tanganyika pakers ambapo misa zao huendelea,nilipofika nimekutana na maombi ya nguvu ya kumsihi MUngu kiti chake cha enzi kisiaibike ,wamemsihi MUngu na kugeuza mishale ya waote wenye hila,Mipango ya kumdhuru.
Aisee kama kweli yupo MUngu anaesikia Maombi haya,hi game bado mbichi kabisa yaani.