Recent content by nickee canon

  1. nickee canon

    JamiiForums Tanzania Marafiki ni watu hatari zaidi kuwaweka karibu na mkeo/ mumeo/ mpenzi

    yaah ivoo yani hatutaki mazoea
  2. nickee canon

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Alitaka Kuniua

    napendaga sana nyie mnaomaliza kabisa
  3. nickee canon

    JamiiForums Tanzania Marekani: Donald Trump ashtakiwa kwa pesa haramu anazodaiwa kumlipa nyota wa filamu za ngono

    uyuuyu ndo alisema mwafrika ni hodari sana kwenye ngono
  4. nickee canon

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya Diamond Platnumz YouTube inapoteza mvuto Afrika!

    ata ivo ni vizuri yeye ni muwekezaji kwenye sekta tofauti na muziki na yuko mbioni kuwekeza kwenye sekta ya usafiri wa anga kongole kwake
  5. nickee canon

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    muendelezo tafadhali
  6. nickee canon

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao hamna maelewano mazuri na wazazi wenu

    mimi wakati nakua nilikuwa namuona mama angu ananibagua lakini saivi naona alikuwa sawa tu,wakati mwingine tabia zetu watoto zinakuwa so nzuri tusiishie tu kulaumu wazazi
  7. nickee canon

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Shetani anaongoza kwa asilimia 100% dhidi ya mpinzani wake

    aisee hii nayo ni noma🙄🙄
  8. nickee canon

    JamiiForums Tanzania Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

    ata Mwanza wana kanisa lao pia wanajiita ,watakatifu wa siku za mwisho"
  9. nickee canon

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

    yaah ni vile tu tunawaamini sana watu wanaotuzunguka ikiwa ni mbwa mwitu wakali sana waliovalia ngozi ya kondoo
  10. nickee canon

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

    kwa kweli vijana huwa tunajisahau mno kwenye maswala ya ibada,nakutenga muda mahususi kwaajili ya muumba wetu
  11. nickee canon

    JamiiForums Tanzania Kwa wale manguli watafuta utajiri

    uwiii Azazel na upinde🏃🏃🏃
  12. nickee canon

    JamiiForums Tanzania Kuota ukiwa shule

    nafikiri ndoto za ivo huwa sio nzuri kwa kweli na mimi nakubaliana na ilo
Back
Top Bottom