Majii yanakua mengi mno wakati nyanya ikiwa imekuzwa Kwa unyevu kidogo then maji yakaongezeka ghafla nyanya inaongeza ukubwa wa tunda wakati ganda la nje ni dogo ndipo hupelekea nyanya kupasuka.
Ushauri:
Kama umelima nyanya na unaona itakutwa na mvua jitahidi umwagilie maji mengi mara Kwa mara...
Nahisi nimechelewa sana kujibu hili ilaa itasaidia wengine
Jitahidi sana kulima mbegu yenye ukinzani wa huu ugonjwa na kama umeona dalili shambani ng'oa Miche iliyoathirika then piga dawa INNOVEX Kwa dosage ya 30 ml per 20 litres ya maji changanya na ridomil gold au fungicide yenye kiambato Cha...
Ukisikiliza vizuri maneno ya rais ni kama ametumia fasihi TU kufikisha amri yanga lazima wamuachie Feisal la sivyo GSM yatamkuta yaliyomkuta manji atahamia Zambia very soon Tena kasema hafurahishwi na Hilo na anataka mrejesho haraka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.