Hawa wabunge wamekuwa wakifanya safari nyingi zisizo na tija kwa kujifanya wanaenda kujifunza mambo mbalimbali nchi za Ulaya, America na Asia kupitia kamati za Bunge. Badala yake waende wataalamu wachache waje watoe mafunzo kwao.
Kiwanja kinauzwa kipo BUYUNI eneo linaloitwa SHERATON barabara iendayo CHANIKA karibu kabisa na OIL COM pia
na MONTESSORI. Kiwanja kina UREFU 32 na UPANA 17 miguu ya mtu mzima. Bei ni 4.5M, maelewano yapo
0768195508
Kama ulichokiandika ndicho unachomaanisha inaelekea haukusoma na kama umesoma inaelekea ulikuwa unakariri na hauna ufahamu wa mambo. Jitahidi uwe mwelewa wa umuhimu wa kipengele cha dini katika sensa.
Sawa ndugu, kama alivyofanya mwenzako na wewe tupe darasa ili tupate kuelewa usilete dhana za bendera kufuata upepo. Pia naunga mkono kwamba Nyerere alikuwa kiongozi mbovu asiye na mfano katika nchi hii.
Kuna watu humu JF huchangia mada kama watu ambao hawajaenda shule, hii inasikitisha sana ukitilia maanani kwamba JF ni ya GREAT THINKERS. Kwanza kabisa naomba watu waelewe kwamba kufanya vizuri kwa kiongozi wa nchi basi ni kufanya vizuri kwa chama chake kinachoongoza nchi husika. Kumekuwa na...
Nikisema wewe MZINIFU kwa ushahidi uliotoa wa kuwa na watoto wanne wa nje ya ndoa utakataa? Mzinifu humuoa mzinifu mwenzie hivyo inabidi umtafute mzinifu mwenzako umuoe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.