You will be next..when they are done with him. So get your self ready for that VIP treatment.Good news, let them give him some VIP treatment just like his father and call it a day.
God bless Patmos Island and USA.
You will be next..when they are done with him. So get your self ready for that VIP treatment.Good news, let them give him some VIP treatment just like his father and call it a day.
Hivyo vidole vyake havijakatwa kweli?
You will be next..when they are done with him. So get your self ready for that VIP treatment.
God bless Patmos Island and USA.
..when they are done with him.
Riz1 ukiona mwenzio ananyolewa unaweza anza tia maji!
Ipo siku tuu endelea kujilimbikizia mali kwa mgongo wa dingi
mwisilamu ndugu yake ni mwislamu mwenzake.
du.....! Huyu si ndiye yule saif islam alikuwa akiwatukana wenzake kama wanyama? Mwaka jana mda kama huo alikuwa na ndoto za kuwa president just imagine!
Leo kakatwa vidole with no future anymore, leo anaona sehemu ya kuishi vizuri sana ni mahakama ya icc! Madaraka tukiyapata tuyatumie vizuri tusiwe na viburi vya kipumbavu as if utakuwa lifetime leader.
Du.....! Huyu si ndiye yule Saif Islam alikuwa akiwatukana wenzake kama wanyama? Mwaka jana mda kama huo alikuwa na ndoto za kuwa president just imagine!
Leo kakatwa vidole with NO future anymore, leo anaona sehemu ya kuishi vizuri sana ni mahakama ya ICC! madaraka tukiyapata tuyatumie vizuri tusiwe na viburi vya kipumbavu as if utakuwa lifetime leader.
Hivyo vidole vyake havijakatwa kweli?
Nenda BAKWATA watakupa ukweli, na usishau kuvaa kipedo.
BAKWATA wana mahusiano gani na kukamatwa kwa SAIF AL-ISLAM? Mbona hoja yako imekaa kiudini na inalenga kukashifu UISLAM na WAISLAM?
Kumbe hakukamatwa bali yalikuwa ni makubaliano baada ya muda mrefu wa mazungumzo ya kujisalimisha kati yake na ICC. Subirini maengi yatafuatia baadaye:lol:. Vyombo vya habari vinapiga watu changa la macho tu ili kuficha ukweli wa mambo.
Mlishaona wapi mtu anakamatwa na mabegi yake, kumbukeni huko alikokuwa ni mbali sana na Zlitan wanakotoka hao rebels.