Recent content by Ng'wanadotto

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lema kuna mkono wa Rais Magufuli?

    soon I sababu ya kuhangaika na ndoto za watu na isitoshe ndoto nyingi huwa hazina ukweli kwa kuwa nyingi huwa ni reflection ya kile mtu husika anachokiwaza,labda ndoto ambayo huwa inatimia ni pale unapoota kuwa unakojoa tu.Hiyo lazima kukicha utaanika matandiko tu
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume; Dada zetu wanalalamika sana hawafiki kileleni, acheni kuzingua

    km wao kutwa nzima kuanzia majumbani,mtaani hadi kwenye mitandao wanajiachia uchiuchi lini wa baba tutakuwa na hamasa nao, wanaume tunakosa ile amshasha na hamasa ya kutaka kujua na kufaidi kilichomo ndani ya mavazi ya wadada maana muda wrote Viko njenje ndo maana tuna under perform
  3. N

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Majaliwa kupokewa rasmi Dodoma Alhamisi

    mbona polisi wamezuia mikutano au hali itakuwa imeshatengemaa?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Cheyo awataka watanzania waungane kuyakataa maandamano ya CHADEMA

    Wazee km hawa hawana uchungu na future yetu maana wao tayari wameshakudanya vyao na lifespan yao inahesabika wanaishi kwa Neema tu mpk sasa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka CCM

    mbona hatuambii vifungu vya she ria kwenye katiba ambavyo chadema wanavivunja na vile vinavyomlinda raid aonekane yuko sahihi kuzuia siasa mpk 2020
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kingunge awaomba Mwinyi na Mkapa kuzungumza na Rais Magufuli

    utawapeleka mahakamani lkn ndani ya dk 70 watakuwa wamepangua mashtaka yote nani atasimama kupambambana kisheria na lisu?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nani hasa ni 'think-tank' wa CHADEMA? Anapaswa asajiliwe CCM

    watashindaje ilihali mwamzi analipwa posho na timu pinzani,maamzi lxm yawabebe timu inayomwela mjini
  8. N

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Mazoezi yanayoendelea ni ya kawaida, hayalengi kuzuia shughuli zozote halali

    Hao wanaojindaa kupiga na hata kuua ndg zao ebu nao wakaguliwe vyeti vyao tuone km watabaki salama
  9. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa atabiri siasa ngumu

    Mbona kaka mkuu alivyoenda makanisani na miskitini na maamzi ya kiranja wake wa darasa la jijini kuamua kuwajengea jengo bakwata hujaona kuwa ni hatari?
  10. N

    JamiiForums Tanzania WANASIASA KUTOFAUTIANA KAULI KWANINI HASA VIONGOZI??

    Timu imepoteana hii
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Hakimu Atupilia mbali ombi la Wanasheria wa Serikali Kuhusu Kibatala

    Lisu anamaliza kesi ndani dk 40 then tunaenda kuona mechi ya manu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Maajabu hayaishi Tanzania! Nchi inayootewa kuwa ya Viwanda

    Anaongeza idadi ya wanaosoma sayansi bila kuwa na walimu wakuyawezesha masomo Hayo,hata mkakati wa kutengeneza madawat hautakuwa na positive results kwa kuwa yamekosa pa kuyaweka cjui watoto watakuwa wanayakalia wakiwa nje wakati wa mapumziko!?walipaswa kuanza na madarasa ambayo motto atakuja...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Rais Magufuli, Sasa uzalishaji wa Pamba kuongezeka

    Ada elekezi kwa shule binafsi na bei elekezi kwa sukari yameshindikana suala la viwanda litawezekana vp?pombe ileile ndani ya chupa mpya
  14. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri mkutano wa Rais Magufuli uwanja wa Furahisha Mwanza

    Ada elekezi ilifikia wapi?
Back
Top Bottom