nkanga chief
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 2,084
- 1,623
WAZIRI MKUU KASIMU MAJALIWA ZOEZI LA UHAKIKI WATUMISHI HEWA LIMEKAMILIKA NA SERIKALI ITAANZA KUTOA AJIRA NA KUPANDISHA WATU VYEO .SOURCE TANZANIA DAIMA 19/08/2016
WAZIRI KAIRUKI LEO JUMAMOSI TAREHE 20/08/2016 KASEMA ZOEZI LA UHAKIKI WA WATUMISHI HEWA BADO LINAENDELEA AMESEMA HAYO AKIWA ANAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DSM.
KWANINI WANAKUWA NA KAULI MBILI TOFAUTI WAKATI NI VIONGOZI WA SERIKALI MOJA TU