Brucella ni bacteria wanaosababisha ugonjwa unaoitwa brucellosis.bacteria hawa hupatikana kwa wanyama kama ng`ombe,mbuzi,kondoo,nk.
Brucellosis ni ugonjwa unaosababishwa na kula nyama yenye brucella,au kunywa maziwa yenye brucella yanayopatikana kwa wanyama niliotaja hapo juu,au mtu anapokuwa...