Ongezeko la magonjwa ya kansa tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ongezeko la magonjwa ya kansa tz

Discussion in 'JF Doctor' started by Maundumula, Jan 23, 2012.

 1. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Habari,

  Jamani huu ugonjwa wa kansa mbona unaongezeka kwa bongo? Miaka miwili nyuma rafiki yangu alipoteza wazazi wake 2 kwa ugonjwa huu baadae jirani akafariki. Na sasa kuna jirani yangu amegundulika na huu ugonjwa.

  Swali: Je nawezaje kujikinga/kujilinda na huu ugonjwa , je kuna vyakula vinavyosababisha kansa? au kuna vyakula vya kuzuia kansa au kuna lifestyle flani ni adopt?

  Jamani msaada tafadhali
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  ni jana tu nimemzika rafiki yangu aliyefariki kwa kansa ya d
   
 3. n

  ngwana ongwa doi Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Poleni sana kwa kupoteza jamaa.ugonjwa wa cancer unatokana na rapid changes(mutation) na kugawanyika cell kusiko kwa kawaida kwenye DNA.DNA ni plan master kwenye cell inayoelekeza cell jinsi ya kukua na kugawanyika.Makosa ya maelekezo yanapofanyika ndo yanakuja kusababisha cancer.Cancer huokea kutokana na rapid growth na cell kugawanyika,cells zinazodhibiti cells growth (tumour suppressor gene) zinapobaini kunaongezeko lisilo la kawaida huzuia zisiongezeke zaidi.Lakini inapotokea kuwa mutation imetokea kwenye t. suppressor zenyewe,, inafanya kushindwa kufanya kazi yake vizuri au kushindwa kabisa kuzuia ongezeko hilo,cells hizi ndo zinakuja kusababisha tumour.

  Kuna mambo yanayo mweka mtu kuwa at risk kupata cancer kama,uvutaji sigara,excessive exposure kwenye mionzi ya jua,unywaji pombe kupindukia,magonjwa ya mara kwa mara ya zinaa(STD),familia kuwa na mgonjwa wa cancer upo uwezekano wa kuja kurithiwa.

  swali kuwa je kuna vyakula vinavyosababisha cancer not proven but vyakula vya kukaanga na mafuta kwa wingi vinachangia.
  Vyakula vinavyopunguza uwezekano wa kupata cancer ni kutumia mboga za majani kwa wingi na matunda kwa wingi.

  life style.
  kupunguza au kuacha uvutaji sigara,kupunguza unywaji kama sio kuacha,kufanya mazoezi maana watu wenye obesity wako at risk ya kupata cancer,kupunguza kuwa exposed na mionzi ya jua,
  NB.kumbuka hayo ni mambo yatakusaidia kupunguza cancer si kuzuia.

  Matibabu ya cancer hutegemea na stage maana kama imesambaa sehemu kubwa ya mwili inakuwa ni ngumu zaidi kuliko kuwahi mapema,HIVYO NI VEMA KUWA NA MEDICAL CHECK UP YA AFYA ZETU AT LEAST MARA MOJA KWA KWA MWAKA.
  hata hivyo tiba hizo ni upasuaji kuondoa cancer cells,matibabu ya mionzi,chemotherapy.
   
 4. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Pole sana
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ngwana,

  Hiyo check up naweza kufanyia wapi?

  Je inaweza ku detect mapema ili niwahi? na je kansa kama ubongo, damu, mifupa ina matibabu nikigundua mapema au kazi bure tu?

  Ahsante
   
 6. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,289
  Likes Received: 1,436
  Trophy Points: 280
  ina maana hujui kuwa check up unaweza fanya hospital?

  Kuhusu kugundua mapema na tiba inategemea na stage ya cancer, ikigunduliwa late inakuwa ngumu kufanya management ya uhakika. Ni kama vile unavyogua HIV na AIDS late.
   
 7. n

  ngwana ongwa doi Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Check up niliyoongelea ni ya mwili wako kwa ujumla si cancer pekee,kwamba ikiwa kwenye ubongo,damu,mifupa ndo maana kuna chemotherapy na mionzi kwa sehemu ambazo upasuaji hauwezekani.vinginevyo hospital wao ndo wana uwezo wa kukushauri kwenda kwenye hosp.zinashughulika na cancer baada ya kuona kuna dalili,sina uhakika kama hosp.za kansa mf.ocean road wanafanya screening hata kama mtu hana dalili kwamba anataka check up.
   
 8. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60
  Duh, mwaka jana tu tumemzika bibi yetu aliugua kansa.
  Mi nauogopa sana huu ugonjwa maana hauna sababu ya msingi kiasi kwamba useme utajikinga
  Yaani unaweza ukatokea tu auti ovu noo wea ukashangaa unaupata. Ni kuomba Mungu atupishe mbali..
   
Loading...