Doctors make mistakes. Can we talk about that?

Like all science, kila kitu ni trial and error. Ndo maana hakuna kipimo 100% conclusive na hakuna dawa 100% effective. Na kila siku tunagundua makosa mapya na mafanikio mapya. Medical field has costed people their lives as much as saved a wholesome lot! Angalia ripoti tu za xray na ultrasound zina 'disclaimer', seuze watu!
 
Madaktari wanafanya makosa na mengine hufanya mgonjwa akapoteza maisha, na nchi za wenzetu zilizoendelea madaktari hufunguliwa kesi kubwa za madai, na ndio maana kule huwezi ku practice udaktari bila medical insurance za kuku cover ukipatakina na kesi kama hizi. Hizi nchi zetu maskini tunawaachia tu na kusema ni mapenzi ya mwenyezi mungu.
 
Wandugu asiyeweza kukosea ni Mungu pekee,japo nae bado analaumiwa.
Kama hamuwaamini kiasi hicho tufanyaje sasa ? Tuhamie kwa waganga wa jadi au tulale vitandani tukifanyiwa maombi ?!
TUWE NA MIOYO YA SHUKRANI KWA TULICHONACHO !!!
 
Back
Top Bottom