Huyu nae uvivu tu au yalioandikwa humo hayaendani na yeye alivyokuwa inataka iwe!kweli hii nji hii tumekwisha!ila tukaze belt hii vita na mafisadi lazima tuvishinde!we will never walk alone!Solidarity forever!
Nawaonea huruma sana familia ya chenge!kumbe Namge wa nyumba yao ni mtu anaeamini mambo ya kwa sangoma!Kweli za mwizi arobaini MUNGU kawaaibisha na unyatuzu wao!Wanyatunzu wanajidai sana sasa atakoma!hiloooooooo!iNAELEKEA hii tabia ni ya kwake kabisa naona jamaa alikuwa anaweka dawa ili kuwapoza...
Jamani naamini mme wangu atakuwa na sifa hizo!na wewe kama wataka mke una sifa zako unamtaka aweje.Hivyo as far as ure not the one unataka kujua kama nina tumakalio ili iweje?
Atakaetakiwa kujua hivyo ni mme wangu!
unawajua wasukuma?sasa makalio nayo ni ya kuuliza?
wapendwa wana JF
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28!
Napenda kuwasilisha ombi langu la kutafuta mme
sifa za ninaemtaka
awe na umri wa kuanzia miaka 25-na kuendelea!
elimu kuanzia masters na kupanda juu!
any one interested ani PM mengine tutafahamiana zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.