Favourite Drinks: Kinywaji Kipi Unakizimia Sana...(Alcoholic & Non-alcoholic)

--btw, wanzuki si ndiyo ile inayotumia asali kama main ingredient... au?
Naam.. Ndio hiyo haswa..., ingawa wengine hutumia majani ya chai.. lkn ile ya asali ndio orginal.. na huifadhiwa kwenye chupa za bia...
 
--- Hivi kuna yeyote anayefahamu kama viazi vitamu vinatumika kutengenezea pombe aina yoyote ile? Kama ipo, inaitwaje hiyo?... shukrani!
 
--Lizy, chai ya rangi ina kajina kengine "chai ya strungi"..... neno strungi nadhani limetokana na neno la kiingereza 'strong tea', am i right?

--btw, wanzuki si ndiyo ile inayotumia asali kama main ingredient... au?


Hahahahahah

You made my day SteveD lol. Chai ya strungi, dah....., we kweli kiboko.

as you said, main ingredient ya WANZUKI ni asali.

Is nice for the week end, try it SteveD, I bet you will forget the so called Heineken, sijui Jack Daniels, Jameson, CocaCola, Dodoma wine na kadhalika.
 
Chibuku chibuku chibuku.... what an excellent nutritious drink!!! Hii kitu mie nilianza kunywa tangu nikiwa na miaka 14!! Underage drinking for really... but it's healthy, I guess my guardians couldn't care less.... ;) , they knew it would only make me taller and just a bit plump...... lol

Hiki ni kinywaji cha kujipongeza Taifa Stars wakiwa wametoka droo, ili kuongeza nguvu za ushangiliaji kwa mechi zijazo!!!

Warning:.... ina harufu nzuri ya brewery, lakini jua inaweza kukupelekesha na kufyatua kizibo halafu trip za kwenda msalani zisiishe....!! DRINK IN MODERATION!
 
Kuna kinywaji kimoja kinaitwa pingu, nasikia kule Msoma kinapatikana kirahisi lakini nina imani kinapatikana pande nyinginezo hapa Bongo... kinywaji hiki kinalewesha, na mtu akikilewa nakisikia kawaida ni lazima ajisaidie kwenye suruali yake (since wanywaji wengi ni wanaume katika jamii hizo). Hivyo basi ili kuondoa kasheshe, wanywaji wa pombe hii nasikia hufunga suruali zao miguuni kwa kamba, ili kuzuia vyoo vyao viisidondoke chini wakati wanarudi makwao.... hence jina PINGU!! Je, kuna yeyote anayeifahamu hii kitu?! ;)
 
Kamanda, Ni bia toka Finland.... Jamaa wa mitaa ya huku wanapenda sana kunywa... Na Serikali yao inathibitisha hilo kwa kutoa ruhusa siku ya Ijumaa na Jumamosi ni ruska kunywa bia ndani ya public bus(daladala)
Nakuja Huko soon
 
Fanta pinneaple na ulanzi, vikikosekana hivyo nakunywa maji!
Aisee Mimi kukaa na wanywa sukri kama hizo huwa hatuelewani nao,huwa wanataka kurudi home saa 4 wakati round ndio zimekolea
 
775077820_4fbea9f13b.jpg

Naipenda hii kwa sababu huwa hainipi hasara sana
 
775077820_4fbea9f13b.jpg

Naipenda hii kwa sababu huwa hainipi hasara sana

Duuh!! hapo tutakaa meza moja tiinywe mpaka mida ya KANDORO.iwe laga tafadhali,ikikosekana basi huwa najipumzisha kwenye SODA MWELEKA.
 
Correct me if I'wrong please.

Kuna kipindi "nilisikia" wanataka kuhalalisha Gongo, I mean kuichunguza, modify sijui nini na nini, then kuipitisha kama kilevi halali. Iliishia wapi hiyo issues.

The reason why I'm asking ni kwamba the WANZUKI does not work for me any more, takes time and money to have effect hence looking for a change to something stronger and cheap kulingana na mfuko wangu.

Anybody with idea out there please.
 
Aisee Mimi kukaa na wanywa sukri kama hizo huwa hatuelewani nao,huwa wanataka kurudi home saa 4 wakati round ndio zimekolea

afadhali yo yo unapunguza namba ya watu wenye kulowesha nguo zao za ndani kama sio hadi za nje hususan karibu yangu siku ya harusi ya Max ....... kwani nategemea kukutana na wanaJF.
 
Maji ya dafu ni hatari shauri yako usiyazoee sana!yanaaminika kusababisha ugonjwa wa mabusha

Samahani lakini, ila nina mdogo wangu wa kike naona mnashindana



Maji ya dafu ni hatari shauri yako usiyazoee sana!yanaaminika kusababisha ugonjwa wa mabusha

Watu mbona huwa wanasema kwamba yanasafisha kibofu! Ila niliwahi kuhoji kama kweli yanasafisha kibofu mbona hayawekwi wala kuhimizwa Hospitalini, jamaa wakaikimbia hoja yangu.
 
mimi cream ya maziwa bwana huniambii kitu ... unachemsha maziwa fresh ila yanatakiwa yawe mengi after yakicool ile layer ya juu yote yangu jamani
 
Miller Genuine Draft the second best Option after my favourite drink nikiwa nyumbani Ndovu special Malt
 
afadhali yo yo unapunguza namba ya watu wenye kulowesha nguo zako za ndani kama sio hadi za nje hususan kwenye harusi ya Max ....... kwani nategemea kukutana na wanaJF.
Lol hiyo harusi kama hamna ulabu siji.Uzuri wa shuhuli watu wayumbe!
 
Mambo ya hard liquor, sijui beer, sigara na bangi nawaachia wataalamu mie ni mwendo wa;
hii kitu ata nikiwa club ndio kinywaji changu....
s_orangejuice.jpg


Joto likizidi uko outdoors basi ni Strawberry milkshake...
186340066_56c4f339f0.jpg


au Strawberry Smoothie
attach_handler.uhtml
 
Back
Top Bottom