Recent content by NGUZO

  1. NGUZO

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, gari ipi nichukue kati ya Toyota Voltz na Toyota Ractis 2011

    Chukua Voltz kubwa kuliko Ractis ila na fuel consumption yale pia ipo juu sababu ina engine CC: 1790
  2. NGUZO

    JamiiForums Tanzania Jinsi DC Sabaya alivyomnasa Afisa Ugani na mtandao wa kitapeli wa Q NET alivyochota mamilioni ya watu

    Wazee wa good morning hata saa 3 usiku, kuna haja ya serikali ku washika viongozi wao Nchi nzima wawekwe ndani, wametapeli watu wengi sana kwa hizo saa za million 4.5
  3. NGUZO

    JamiiForums Tanzania Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

    Noma sana, mtanzania ameweka record ya kupigwa ko mbaya kuliko.
  4. NGUZO

    JamiiForums Tanzania Kampuni nzuri ya fridge

    Jstar1, Kampuni nzuri ya fridge ni BEKO from Turky, wapo vizuri kwenye kelele, ulaji wa umeme na kugandisha.
  5. NGUZO

    JamiiForums Tanzania Livestream Uefa Champions Liverpool vs Totenham

    Sasa hivi ni halftime Liverpool wanaongoza kwa bao moja la Salah Kitu HD
  6. NGUZO

    JamiiForums Tanzania Livestream Uefa Champions Liverpool vs Totenham

    Wakuu hii ni link ya kuangalia Champions leugue live in HD http://footballmaza.com/liverpool-fc-vs-tottenham-live-stream-hd-ucl-final/ karibuni
  7. NGUZO

    JamiiForums Tanzania PPF commercial tower Sam Nujoma road litakuwa jengo refu zaidi Afrika Mashariki

    Hapana sio GEPF ni LAPF
  8. NGUZO

    JamiiForums Tanzania TANGA: Mvua kubwa iliyodumu kwa siku nzima yaleta maafa

    Sawa zimefika Ukhty
  9. NGUZO

    JamiiForums Tanzania TANGA: Mvua kubwa iliyodumu kwa siku nzima yaleta maafa

    Kwahio Pangani haiendeki?
  10. NGUZO

    JamiiForums Tanzania TANGA: Mvua kubwa iliyodumu kwa siku nzima yaleta maafa

    Hapana kaka
  11. NGUZO

    JamiiForums Tanzania TANGA: Mvua kubwa iliyodumu kwa siku nzima yaleta maafa

    Nipo Chumbageni ndugu
  12. NGUZO

    JamiiForums Tanzania TANGA: Mvua kubwa iliyodumu kwa siku nzima yaleta maafa

    Dah! Yaani kumaliza kupost tu Mzigo umerudi
  13. NGUZO

    JamiiForums Tanzania TANGA: Mvua kubwa iliyodumu kwa siku nzima yaleta maafa

    Naona mzigo kidoogo umepungua
  14. NGUZO

    JamiiForums Tanzania Jipatie ubuyu wa zanzibar kwa elfu 28 tu

    Kutuma Tanga inawezekana? Maana kuna Azam inakuja huku kupitia Pemba
  15. NGUZO

    JamiiForums Tanzania Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

    Bujibuji mwendelezo vipi? Ulisema itaendelea kesho na leo ni siku ya 3 naona kimya
Back
Top Bottom