Jipatie ubuyu wa zanzibar kwa elfu 28 tu

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Jan 22, 2014
584
273
Habari, kwa wapenzi wa ubuyu na wajasiriamali,tunauza ubuyu mtamu wa Zanzibar,tupo Zanzibar na tunautuma mpaka bandarini dar es salaam kwa sh. 28,000 tu kwa ndoo ndogo ya Lita 10.gharama ya usafirishaji ni juu yetu wewe uje bandarini tu kuupokea,kwa mikoani utagharamia usafiri wa kutoka bandarini dar es salaam mpaka ulipo
Tunapokea oda ndio unapikiwa ili upate fresh na utasema kama utokee pili pili ama laa kutegemea na mahitaji yako. Kwa wanaofahamu bei halisi ya ndoo ndogo nje ya Zanzibar watajua kwamba hii ni offer ambayo hutakiwi kuikosa.
KARIBUNI SANA
Mawasiliano wasapp/SMS/call no. 0713763595
 
Nikija bandarini kupokea ndo nalipia pia au inakuwaje naitaji ndoo ndogo kwakuanzia
 
Nikija bandarini kupokea ndo nalipia pia au inakuwaje naitaji ndoo ndogo kwakuanzia
Unatuma kwa Tigo pesa kwa namba 0713763595 unakua umeweka oda yako na unapikiwa ubuyu wako na kusubiri kuupokea tu.
 
Kuna oda tayari nimeshapokea na kesho insh kazi inafanyika jumatatu asubuhi insh anapokea mzigo wake..ndoo mbili..hivo atakayehitaji walau kuonja na kujionea ubora wa ubuyu wetu naweza kukuunganisha naye..
 
Shaka ondoa kama utakuwa na wasi wasi kuna option zakwenda kuuchukua mzigo sehemu kisha kulipia lakini itabidi ulipie na gharama ya kutoka bandarini mpaka huko,tumefanya hivi ili kukurahisishia na kupunguza gharama kwako,niamini tufanye biashara kwa wepesi ndugu.
Gharama ya kutoa bandarini ikoje?
 
Gharama ya kutoa bandarini ikoje?
Shilingi elfu 5 tu na kama haupo mbali na katikati ya jiji la Dar, naweza kufanya mpango ukaletewa ulipo kwa elfu 5 hiyo hiyo,wewe kama mteja ni wathamani sana kwetu,wewe ni mfalme.Karibu tufanye biashara.
 
Karibuni sana..ukitaka ukeletewe ulipo kisha ndio ulipie tunaweza zungumza pia
 
Back
Top Bottom