Recent content by Nguyaki

  1. Nguyaki

    Eric shigongo hakusoma shule ya sekondari kabisa

    Thibitisha kwa kutupa ushahidi hata Wa kimazingira maana kama unamchafua tu
  2. Nguyaki

    Eric shigongo hakusoma shule ya sekondari kabisa

    Thibitisha habari yako.Hakuna source sababu naona unaongea tu.
  3. Nguyaki

    Msaada kuhusu ufunguaji wa Company Group, e.g IPP Media Group

    Mimi sijui kwa kweli ila nahisi zinafaida nyingi kuliko hasara hasa ukizingatia kuwa kampuni ndogo ndogo hazitasajiliwa tena.
  4. Nguyaki

    Naomba ushauri kuhusu banking career

    Asante,nitaku-pm soon.
  5. Nguyaki

    Ushauri namna kuisajili shule hasa Primary School

    Asante .Huwezi kutaja mbili au tatu muhimu?
  6. Nguyaki

    Ushauri namna kuisajili shule hasa Primary School

    Habari wanajamvi,ni naomba kwa yeyote mwenye idea ya hatua za kupitia unaposajili shule hasa primary school. Asanteni sana.
  7. Nguyaki

    CAG mpya Prof Assad Kufanya marejeo ripoti ya account ya Tegeta Escrow

    Kuna maswali ya kujiuliza 1.Kuna uhusiano kati ya kuteuliwa kwa CAG mpya na account ya ESCROW? 2.Kwanini sasa hasa?kama madai kuwa Muda wa Ludovick uliisha Oct 5th mbona hakuapishwa muda huo huo? 3.Kwanini asema atapitia upya ripoti ya CAG wa zamani na hasa report ya escrow na sio ripoti zingine?
  8. Nguyaki

    CAG mpya Prof Assad Kufanya marejeo ripoti ya account ya Tegeta Escrow

    Ni kweli kabisa.Vinginevyo tutatia shaka uteuzi wake kuwa kawekwa kulinda maslahi ya wezi na makundi!
  9. Nguyaki

    Mmiliki wa IPTL atema cheche

    Ukweli lazima usemwe,bila ninani kaufanya.Hela zimeliwa na bila kufuata sheria na kanuni pia kuna ushahidi mwingi wa rushwa kutawala sakata hilo.Tuache hulka ya kutafuta mchawi au pa kutupia Lawama.Mengi,Mnyika,Mbowe kafanya nini?Ndio walio waagiza wachote fedha?Acheni hizo bhana.
  10. Nguyaki

    Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Usisubiri mtaji ndugu gajjah.Uthubutu ndio jambo la msingi kidogo ulichonacho ANZA NACHO,mbele utakutana na watu wa kukusaidia ila kwa kuwa hujaanza kamwe hutawajua.
Back
Top Bottom