jarson mwakyusa
Member
- May 21, 2014
- 73
- 6
kwanza ni cag asiye na cpa wala acca sio qualified
You are right but he is the one now who is answerable and accountable for the Report.He Can`t accept to be accountable for the mistakes that are in the report that were done by the acting CAG.
So review is important for him.After all he is a Proffessor and has a PHD in accounting while the rest of the staff in CAG office most of them are just CPA holders with some having masters degrees.To him most of the Staff including the one who was Acting as CAG Are just like students of accounting and auditing to him.Review of the reoprt for him is a must.
Prof. Aweza kuja na jipya, yule MCHAGGA aliyemaliza muda wake huenda alihongwa na MENGI
Mkuu unajua kwanini wanakataza kuhoji kazi ya CAG? kama hakuna anaye aminika nani ataamini kuwa yeye hakuhongwa? ni nani atakagua kazi yake baada ya ukaguzi? Kama tunaamini kuwa aliyepita anaweza kuwa alihongwa kwanini huyu tuamini hawezi kuhongwa? kwa mtindo huu hata kazi yake haito aminika kabisa!
neno 'inawezekana' lilikuwa na maana hizi:Uto alivyokataliwa kuongezewa mkataba suala la escrow akaliweka njia panda kwa kusema inawezekana kuna hela za umma
sasa neno inawezekana kuna maana mbili kuwa haiwezekani. kwa kuwa wabunge wamepandikizwa chuki tukachua neno moja tu INAWEZAKANA
Anacho taka kufanya ni sawa na wale wanao doubt kazi na weledi wa CAG wakati tunajua fika ni chombo kinacho aminika kabisa na hakihojiwi na mtu yeyote yule!
Wakuu nimeona kwenye media moja huyu bwana ameahidi kwamba anafanya marejeo juu ya ripoti ya ofisi yake kuhusu account ya Tegeta Escrow, hii ndio maana mukulu amewakingia vifua wezi wote kwa kuwa jamaa anaenda kuisafisha ripoti?
Pia kwa hawa jamaa wa buku7 waliotumwa kuja kutetea wizi humu jamii Forums ndio wamemuambia kwamba hali ni shwari?
My take: mimi naona anajichelewesha tu maana, sisi tunajua maamuzi yameshafikiwa na kazi ya CAG mpya si kukata rufaa maana waliofanya hiyo kazi pia ni professionals.
The one who presented the report was THE ACTING CAG now CAG is in office he can review the work that was done by his junior staff ACTING CAG
Mi nashangaa yeye badala ya kuendelea na shughuli nyingine anataka kureview report ambayo watu wameshaitumia kufanya maamuzi
kwanza ni cag asiye na cpa wala acca sio qualified
upo sahihi kabisaHuwezi kushinda kesi mahakamani kwa ripoti kama ile ya utoah.
mahakama itauliza pesa za umma zilikua ngapi na za iptl ngapi?,jibu hakuna.
ilitakiwa ripoti ilete hesabu kuanzia day one tumeuziwa umeme unit ngapi na tumelipa pesa ngapi na ngapi zilikua ni overpayement na kwanini zikazidi,etc.
Mimi siiamini ofisi ya CAG hasa kwenye ripoti ya ESCROW. Ripoti ina mengi ambayo hayako vizuri mfano ripoti gani ya maana ya CAG inayoweza sema pesa Zilizoko kwenye ESCROW zaweza kuwa au zisiwe za serikali? Si angeandika tu kuwa hajui ni za nani tu kuwa yeye kama mkaguzi alikuwa mbumbumbu ambaye hata alichokuwa akikagua hajui ni cha nani.
Sasa kama alikuwa hajui Fedha za ESCROW ni zanani sasa alikagua nini? Mathalani kama pesa zote zilizokuwa ESCROW zilikuwa za mtu binafsi yeye Kama CAG alikuwa na mandate gani ya kwenda kukagua akaunti za mtu binafsi? Toka lini CAG akaenda kukagua mali za watu binafsi? Je sheria inamruhusu kukagua mali za mtu binafsi na kuzitolea ripoti kwenye bunge?.Ana kinga ya kisheria kama mgogoro ukizuka kuwa alikwenda kukagua mali za mtu binafsi kinyume cha sheria?
Wacha CAG mpya aifanyie marejeo halafu tumrudie na hilo swali upya tuachane na BLA BLA za hiyo ripoti ya Acting CAG .

Uwongo kuna watu wengine waweza pitia kazi ya mkaguzi kwa ajili ya kupata Quality Assuarance Mbona ENRON kashfa za wakaguzi wa mahesabu zilionekana kibao na sehemu nyingi tu ripoti za wakaguzi zilionekana feki baada ya wengine kufanya Quality Assuarance kwa kupitia ripoti zao? Inaelekea umepata ka CPA kako kwa kukariri juzi juzi.
Kuna maswali ya kujiuliza
1.Kuna uhusiano kati ya kuteuliwa kwa CAG mpya na account ya ESCROW?
2.Kwanini sasa hasa?kama madai kuwa Muda wa Ludovick uliisha Oct 5th mbona hakuapishwa muda huo huo?
3.Kwanini asema atapitia upya ripoti ya CAG wa zamani na hasa report ya escrow na sio ripoti zingine?
You are right but he is the one now who is answerable and accountable for the Report.He Can`t accept to be accountable for the mistakes that are in the report that were done by the acting CAG.
So review is important for him.After all he is a Proffessor and has a PHD in accounting while the rest of the staff in CAG office most of them are just CPA holders with some having masters degrees.To him most of the Staff including the one who was Acting as CAG Are just like students of accounting and auditing to him.Review of the reoprt for him is a must.
Jamani mwenye sheria ya kumuongoza CAG naomba aiweke hapa!