Recent content by nguvusimba

  1. nguvusimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uingereza yazidisha kasi ya upanuzi wa kambi zake za kijeshi nchini!

    poor kunyans, nato allies hahahaha endeleeni kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa
  2. nguvusimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uingereza yazidisha kasi ya upanuzi wa kambi zake za kijeshi nchini!

    kenya iliyapoteza sifs yake kama nchi. kenya ni shamba la bibi kwa ajili ya kulinda masilahi ya wachache
  3. nguvusimba

    JamiiForums Tanzania Nataka nikope benki niwekeze UTT

    hapana, hii tofauti
  4. nguvusimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    kenya hawana mtandao wa lami kutupita na wala haitakaa itokee, hawa ni wazee wa kupika data
  5. nguvusimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    na kwa hii misaada, majirani wanaenda kuwa rasmi taifa la mashoga
  6. nguvusimba

    JamiiForums Tanzania Battle Mwanza VS Kigali

    run way ya mwanza bado ni fupi, jengo ni dogo pia. Mwanza kama kitovu muhimu cha biashara katika kanda ya ziwa ingetakiwa ijengwe international airport yenye hadhi ya jnia na siyo kale kajengo kadogo kama ka air strip. ni lazima tanzania tuwe tayari kufaidika na biashara katika ukanda huu
  7. nguvusimba

    JamiiForums Tanzania Battle: Lilongwe VS Mbeya

    na wenyeji tena walivyo wabaguzi na roho mbaya kila kitu ni tafrani
  8. nguvusimba

    JamiiForums Tanzania Kusoma sana sio kigezo cha utendaji: Nehemiah Mchechu ana degree moja

    tatizo la vyuo vikuu vyetu wanajenga ukuta kati ya mwanafunzi na mwalimu, wanadhani mwanafunzi ataendelea kuwa mwanafunzi milele, wengine wakimwona hata raisi kwa vile ana diploma mfano profesa anadhani ahana cha kumsaidia kwa vile siyo profesa hapa watanzania tunaanguka sana
  9. nguvusimba

    JamiiForums Tanzania Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

    kuna jamaa yangu mkurugenzi alitumbuliwa na kwenda TANROAD kama afisa wa kawaida, mpaka leo anajilaumu alichelewa wapi, can you imagine?
  10. nguvusimba

    JamiiForums Tanzania Miaka ya kustaafu iongezwe

    Mara nyingi anayeng'ang'ania kuongeza muda wa kustaafu ni yule mtumishi anayeona ajira ni kama sehemu ya kujipatia pesa za bure kila mwezi. Hapa namaanisha mara nyingi watu wa aina hii hawana juhudi kazini hivyo kutokuwa na mchango wowote au mchango kidogo kwa taasisi. Lakini kwa mchapa kazi...
  11. nguvusimba

    JamiiForums Tanzania Miaka ya kustaafu iongezwe

    binafsi 50 ni umri sahihi sana wa kustaafu ili walao kwa wale wanaojielewa waanze kutumia elimu na ujuzi wao kujiajiri
  12. nguvusimba

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    hamna, binafsi nahitaji kufahamu pia
  13. nguvusimba

    JamiiForums Tanzania Foleni ya Tabata - Tazara imeanza kuwa tishio kwa uchumi wa nchi, nini kifanyike?

    tumwombe Mwenyezi Mungu, mama ataanza mazungumzo mapya nao
  14. nguvusimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    kiazi kweli wewe, Narobi inayo GDP ya 85? hahaha
Back
Top Bottom