huyu si mchungaji kabisa jamani. yeye si alisema ameshamsamehe Makonda? Je, hivi vijembe vya nini tena!
Naomba huyu jamaa achunguzwe uhalali wa Profession yake uenda akawa ni mchekeshaji tu!
hivi hakuna cha kujadiri mpaka wamjadiri Makonda? hivi tukiwatukana watalalamika wanadharauliwa wakati wao wenyewe ndo wanaanza kujidharaulisha.
Tangu tar 8 wabunge wanapga mipasho tu bungeni na posho zinaingia daily. mm kama mwananchi nalaani kinachoendelea bungeni kwa sasa kwani ni uhuni mtupu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.