py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,447
1.Mafuta yametokana na mabaki ya wanyama na mazao ambayo yalifukiwa ardhini. Miaka million iliyopita wanyama wadogo na mimea iliyokufa na kufukiwa chini ya bahari na kufunikwa na matope, baadae matope yakabadilika na kuwa mawe na hayo mawe yakawa yanawapa pressure na ujoto mimea na nyama/mifupa hizo na hivyo oil chafu ikapatikana na pia inasemwa dinasours waliokufa na kufukiwa ardhini mifupa yao baada ya kupata joto kali ikabadilika na ktengeneza mafuta. Hii nadharia naikataa hakika shule ilinidanganya.
2.Kuku walitokana na ancestor wao ambaye ni Tyrannosaurus. Tyrannosaurus ni aina ya Dinasours wenye mabawa na wenye uwezo wa kupaa na wapo wasio na mabawa na hawana uwezo wa kupaa.Tyrannosaurus baadaye wali evolve na mpaka wakawa wadogo na wakapatikana kuku na bata, kuku na bata wa nyumbani zamani walikuwa ni Dinasours.
3.Binaadamu ame share wazazi ''ancestor''na sokwe na nyani.sisi na nyani tumetokana na ancestor mmoja ambaye ni Black African Gorilla na binaadamu wa kwanza inaelezwa amepatikana Olduvai George. Swali la kujiuliza kama binaadamu alitokana na huyo Gorilla mweusi mbona huku Africa hapakuwepo na watu weupe, hao Asians, wazungu, waarabu mbona historia inaonyesha hawakuwepo Africa wakati chimbuko la mwanaadamu ni Africa iweje wote wajitenge kule. Migration ilitokea tokea vipi?
Pili kulingana na nadharia ya kuwa mtu wa kwanza alitokana na gorilla mweusi aliyekuwa anapatikana Africa na historia inavyoonyesha hapakuwepo na mtu mweupe je hawa watu weupe walitokana vipi na ukizingatia hakuna uthibitisho wa interbreeding toka lini genes nyeusi ikamzaa mzungu na muarabu?
Swali langu la msingi; hizi genetic za wazungu, waarabu, wachina zilipatikana vipi na ilihali hapakuwepo na interbreeding?
4.Nadharia ya Bing bang inaeleza ya kwamba miaka 13.7 billion iliyopita vitu vyote katika ulimwengu yaliwekwa kwenye sehemu moja baadae pakatokea mlipuko na hivyo vitu vikajitenganisha kidogo kidogo.Nadharia hii nilikaririshwa shuleni na watoto wote shuleni wanafundishwa na kukaririshwa nadharia hii na hata leo hii ukimchukua mwanafuzi na umuulize akuelezee nadharia ya bing bang hakika atakuelezea na kukuchambulia kwa undani kabisa huku akiamini nadharia hiyo ni ya ukweli...sheria mbali mbali za kifizikia zimeonyesha kasoro na uongo wa Bing bang Theory.
1.Nadharia ya Bing bang inapingana na newton's second law of Thermo dynamics
2.Nadharia ya Bing bang inapingana na newtons first law of Themo dynamic
3.Nadharia ya Bing bang inasema mpasuko wa universe ulikuwa wa haraka kuliko speed ya mwanga jambo ambalo siyo kweli
4.Dunia haina umri wa miaka 14.7 billion na nadharia hii ilisema dunia ni flat jambo ambalo siyo kweli.
5.Katika safina ya Noah tumeelezwa kwenye vitabu vya dini kuwa aliwapandisha wanyama wote na kisha kuwatua mashariki ya Uturuki kwenye mlima wa Ararat .Hivi hawa wanyama aina ya Penguins na Bears ambao wanapatika Antarctica, newzealand, Australia, Florida na wanaishi kwenye mabarafu na hali yao ya miili inastahamili ubaridi ilikuwaje wakakatiza jangwa bila ya chakula wakatembea mpaka wakafika alipo Noah kisha wakapanda kwenye safina. Pia mara baada ya safina kutua mashariki ya Uturuki karibia na Iran na Armenia waliwezaje kusafiri mpaka wakafika Arctarctica, Newzealand, Florida, Australia nk.