Recent content by Ngosha255

  1. Ngosha255

    Nimepata hili jiwe wakati wanachimba kisima, je lina thamani yoyote?

    Kama una nyundo karibu jaribu kulipiga na nguvu uone kama linabonyea ama kupasuka!
  2. Ngosha255

    Kinatafutwa kioo Cha google pixel 6 pro

    Nenda AliExpress mzee wiki 2 hadi 3 umeshakitia mkononi
  3. Ngosha255

    Nimetoka Posta na TRA, nawashauri msiagize mizigo kwa njia ya posta. Ni hatari

    Wewe ni mfanyabiashara?! Au ndiyo watu wa vitengo mko kwenye viyoyozi mnakula mna nenepa kwa jasho la myonge Ungekuwa umeshawahi kufanya biashara usingesema hizi mambo
  4. Ngosha255

    Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

    Wameanzia wapi kujenga?! Hadi leo barabara haipitiki Gari za Geita Kahama zinalazimika kuzunguka Nyarugusu za kwenda mikoa ya kati kaskazini na dar hadi zinalazimika kuzunguka mwanza Achana na matamshi ya kisiasa
  5. Ngosha255

    Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

    Wapi Geita-Kahama hii barabara haina wa kuisemea ndiyo barabara mbovu kuliko barabara zote Tanzania kwa misimu yote! Hizo barabara zilizosainiwa naona ni kanda ya kati, kaskazini, na Nyanda za juu Nyie wa lake zone mtasubiri sana.
  6. Ngosha255

    Je, Wajua kuwa Rocket ikishawashwa basi huwezi kuizuia isiondoke..?

    Mkuu Mzawa_G njoo utujibie hili swali!.
  7. Ngosha255

    Ujerumani mbioni kuhalalisha matumizi ya bangi kwa starehe

    Tanzania yangu siijui tunakwama wapi, sisi kila kitu ni wa mwisho mwisho tu! Tumeng'ang'ana na tozo wakati kuna fursa kibao za kuingiza kodi huku wananchi wakipata kiburudisho 😀.
  8. Ngosha255

    Gari nzuri ya CC chini ya 1500 budget 14m-18m

    Mbona premio za kuanzia 2008 zile zenye vitaa vya chini vya mviringo ziko njema sana tena bei yake imesimama zaidi ya hapo
  9. Ngosha255

    AZAM Sports 3 HD

    Mkuu hivi hiyo aljazeera huwa sio HD? Mbona picha clear kabisa.....!
  10. Ngosha255

    Kioo cha xiaomi MI pro

    Japo hata sijaelewa ni Xiaomi ipi lakini nenda AliExpress kule vipo vya kutosha au kama ni mgeni huko mtafute Mr. Mobile akuagizie
  11. Ngosha255

    Biashara salon ya kike kati ya Katoro au Kahama

    Geita- Katoro ni mwendo wa dakika 20 hadi 30 Katoro kahama ni safari sio kidogo
  12. Ngosha255

    TTCL ina deni la bilioni 403 ilhali mtaji bilioni 243

    TTCL ndio mtandao pekee ambao hauna huduma ya 4G ndani ya baadhi ya makao makuu ya mikoa Hizi hasara zinatoka wapi kama huduma shindani hawana! Au ndio wale wakurungezi wanajigawia tu mishahara!
Back
Top Bottom