AZAM Sports 3 HD

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
11,026
15,316
Naona hawa jamaa Azam TV wameongeza Channel mpya kwenye series yao ya sports HD na kuleta AZAM sports 3 HD

Hii ni good move kwenye Tasnia ya TV hapa Tanzania. Sasa tuna channel 5 za HD. Kwa maana hiyo Azam ataweza rusha hata Match 5 za HD

TV nyingine kama Clouds, TVE na Wasafi sijui wanasubiri nini kuondoka kwenye mifumo ya kizamani na kuahamia HD maana wao kupata contents za HD ni rahisi hasa ukizingatia maudhui yao mengi ni burudani.

Una nini cha kusema?
 
Unafikiria azamu angekuwa anategemea tu mapato ya tv tu, angeweza kufanya hayo?sekta ya habari nchini imepitia kipindi kigumu sana kwenye awamu ya 5, sasa kidogo kama ni mgonjwa ndio ameomba uji!!Sasa hayo mengine watafika tu badaye!!!
 
Kama mfuko upo vizuri jaribu kucheki na Sony hizi zenye 4K resolution, huwa zipo vizuri sana bei ni atleast 1.3m - 2m unaweza kupata 50 inch na kuendelea, hutajutia.
Mbona wanauza bei ya gari arif? Hapo hicho kimango nikiongezea m2 sinakuwa baba mwenye gari.
 
Tatizo la Sony wanauza na jina la brand yao wanabana sana kwenye upande wa bei ila quality wapo mbali sana ila ukitaka kubana kidogo matumizi TCL na Hisense ndio better options tena kama TCL hata Marekani anauza sana kwa sababu ya bei kuwa chini
 
Poa chief
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom