hivi haya matokeo si ni ubabaishaji.eti division 3 ya 31.wakati mwaka wangu ilikuwa 4 tena home dingi anakuzingua na wanafamilia wanakunyanyasa kwa mda.leo limtu lina 3 ya 30 linalinga sana.sasa utata muwapeleke form 6.naanzisha maandamano mi sielewi au wakuu mmepitisha watoto wenu.daha cheki...
utawekaje gmail account wakati inataka password?nyingi zinaomba gmail account kama umeattempt kuunlock pattern mara nyingi.ila hii haijaomba gmail account kwa sababu imefungwa. kwa password na sio na kariri ina buton tatu.ya kuwasha na kuzima na ya kuongeza sauti na kupunguza.so zio zote zina...
inaomba password tu.haina sehemu ya gmail.nimejaribu kuhold key za volume na kuturn on lakini haiingii kwenye recovery ode.sina option nyingine sababu ikiwaka inaleta sehemu ya kuandika password
nina Tablet ya kichina.android v4.Imejilock password na nikijaribu kufungua haitaki.nimejaribu hard reset zote aitaki.je kuna njia ya kuiformat na kuinstall android os mpya.au kuna njia ya kufanya factory reset kwa computer.
Maoni haya ya serikali tatu wametoa wananchi ambao ndio wenyenchi bila kujalisha itikadi za kichama sasa angalia kisiwe kigezo cha kukunyima kura ndugu.
Kusema kweli kwa sasa mambo yako wazi kuwa chama hiki hakiwazi tena jinsi ya kumkomboa mtanzani bali wamebaki na sera za kuwasema chadema na kumzuia bwana Lowasa kutoonesha nia yake ya kuongoza taifa hili, huku wakitawaliwa na chuki kwa pande zote na kukosa hoja za kuwaeleza wananchi na kuelewa...
Yote heri cha msingi jadilini maendeleo ta chama na jinsi ya kulikomboa taifa mjadala juu ya zito sijui mboe sijui lema hauwezi kuzuia mgawo wa umeme wala kuleta dawa kwenye mahospital wala kuleta maji kwa wananchi yote hayo yatapita lakini mahitaji ya watanzani yapo palepale.cdm tokeni humo na...
Taratibu nipo kitaa mara naona kibao"TUNAUNGANISHA FREEMASON"Duh naeaza hawa ndo wakina Jay z.wanatafuta watu?siku hizi superstar uking'aa na kawimbo kako au kamovie,ukapata viela we ni Freemason.naona ni jinsi gani hatupendi maendeleo ya wasanii wetu wala wasifanikiwe.so broo au msista...
Kaka ubarikiwe kwa haya uliyokija nayo kwani umeyaleta kwa muda muafaka tuna muda wa kutosha kuyajadili na kuweza kuyatengenezea msingi wa maana.sio kila uchao tunajadili watu tutakapoacha kuwajadili nao watapata wakati mzuri kulinganisha mwenendo wao mzima na mahitaji ya watanzani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.