Kusema kweli kwa sasa mambo yako wazi kuwa chama hiki hakiwazi tena jinsi ya kumkomboa mtanzani bali wamebaki na sera za kuwasema chadema na kumzuia bwana Lowasa kutoonesha nia yake ya kuongoza taifa hili, huku wakitawaliwa na chuki kwa pande zote na kukosa hoja za kuwaeleza wananchi na kuelewa kuwa haya mambo yote chadema na Lowasa hawawezi kuwaletea watanzania maisha yaliyobora.ndugu kusema kweli hawa wasemaji wa chama hoja hii imewashinda kabisa sasa kama mnataka tuwaelewe badilisheni wasemaji watakao kuwa na mtazamo tofauti wakuwaeleza watu wakaelewa.na sio hawa waliojaa mihemko tu ambao hata maelezo ya msingi hawana.

