Kwani mkuu we unaumia nini? Mtu akiomba hela ukitaka unatoa usipotaka usitoe we kinakuuma nini? Story ikihamia telegram wewe unakosa nini? Kuna kipato chako kimepungua? Umepunguza siku za kuiishi? Sasa we shida yako nini?
Mimi story ikija poa nasoma vizuri tu wakiamua kwenda telegram waache...
Habari wakuu poleni na majukumu ya kujenga Taifa Mana wazee tunapambana paka inafikia muda unasema sijui niende kigoma kucheki nyota kwanza[emoji16]
By the way nilikua na mission za kununua samaki na kwenda kuuza pale makambako samaki nawatoa bonde la mto kilombero sehemu moja inaitwa gundu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.