Recent content by ngonya

  1. ngonya

    Rais Magufuli tunamtaka Dr. Slaa

    Hakuna shida ya mwanachama kuhama kutoka chama kimoja kwend kingne lkn suala la uzalendo siyo suala la vyama bali ni la mtu binafsi, lkn pia kwa maslahi mapana ya taifa ili tuweze kupata maendeleo tunahitaji kuwa na upinzani thabiti kuweza kuchochea watawala kufanya vyema . Moja ya nyenzo ya...
  2. ngonya

    Rais Magufuli tunamtaka Dr. Slaa

    Sina hakika kwamba Dr slaa ni mzalendo, kwani sioni tofauti yake na prof. I abmupil...taifa imara ni lenye upinzani imara kwakuwa wao ndy huchochea maendeleo
  3. ngonya

    Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

    Et nakaa kabisa kuanglia bongo movie hahahaa ! Jamaa wanaogopa ushindani ! Ukifanya kazi nzuri huwezi kuogopa hizi movie za nje ; tatizo bongo movie mnataka mfanye kazi ya laki sita mpate milioni ishirini! Mnajidanganya hzo movie mtazizua na bado zipo online , ushauri wa bure ongezeni ubunifu na...
  4. ngonya

    Dk. Slaa azungumza kwa njia ya simu kuhusu madai ya kujiunga CUF

    Hawa madaktari na maprofesa kunahaja ya kuchunguzwa akili zao kwani baadhi yao wana mambo ya ajabu ajabu @#$ wengine wanajiuzulu pasipo shinikizo halaf wadai eti wao wanacham halali xaxa watu kama hawa kunahaja ya kuwaita maprofesa kweli@#$team ujinga$#*
  5. ngonya

    Mgonjwa anatoka Moro to Dar na treni ya umeme akifika Muhimbili anakosa dawa

    Wakati fulani tuache ujinga twaweza tumia barabara znatosha tunataka mijisifa ya kuwa na vizuri wakati wagonjwa wanakosa dawa halafu kwa ujinga tunasaport anyway @ #$team ujinga $#&/
  6. ngonya

    Uzi maalum wa wanaJF ambao tuna imani kubwa na ushindi wa North Korea

    Karudisha majeshi huyo kaona kule kwa moto xaiz kaanza chokochoko na Ilani....#$@team mapanki ni noooma!
  7. ngonya

    Inanisikitisha sana pale USA kumuogopa Kim Jong Un wa Korea Kaskazini

    Mzeee wa kiduku noma mwanaume hutakowi kuyumbishwa
  8. ngonya

    Uefa Champions League: Leo ndio hukumu ya Real Madrid

    Vidal leo anapewa umeme!@#$/
  9. ngonya

    Maandalizi ya Vita: Korea Kaskazini yawahamisha raia 600,000 kutoka mji mkuu Pyongyang

    US ni kakorofi xana haka ka bwana lakkni kwa kutafuta vijisababu hakajambo ....at KOREA Wanatengeneza silaha za nyuklia kwani wao hawatengenezi ...tucjidanganye US wanataka wawe wanatengeneza pekeyao na sio wengine but wajaribu vamia huko Korea tutabaki observars ya nani mbabe....
  10. ngonya

    Maandalizi ya Vita: Korea Kaskazini yawahamisha raia 600,000 kutoka mji mkuu Pyongyang

    Huyo marekani hana lolote vietnam wamarekani walikufa wengi sana lakni katika data zinazotangazwa znaficha uhalisia ......by the way yeye aendee tuu kitakacho mpata mimi cjui....
  11. ngonya

    Usomi wa Rais Magufuli na Kasumba ya Kiingereza

    Ndugu yangu umejitahidi sana kupangilia mawazo yako lakini katika fact ya msingi ya matumizi ya lugha ya kiingereza nchini tanzania na kwingineko umechemka , kwani umeshindwa kwakua kiingereza ni rugha ya kujifunzia na kufundishia tofauti na nchi ulizo zihusisha hapo kwani wao hujifunza na...
  12. ngonya

    Naomba ufafanuzi kwa mwenye taarifa kamili suala la GPA 3.8 kwenye ajira

    Wametangaza ajira kwa walimu wa sayansi ....source gazeti la mtanzania la December 14/2016
  13. ngonya

    2020 CCM hakiwezi kushinda kwa namna yoyote ile

    Nadhani msha sahau kuwa kupata kura nyingi na kutangazwa mshindi katika siasa ni vitu viwili tofauti mie nasubiri tuuu !!!!
  14. ngonya

    Maswali 2 Ya Ugomvi: Kuhusu Michango ya Kagera kwa Atakayethubutu Kujibu

    Cjaelewaa!!! Ngja niulize ten
  15. ngonya

    Mwigulu: Lowassa anajua atashindwa, ameanza kuandaa watu kisaikolojia

    Wanazungumzia udini kisiasa tuu nadhani ingekuwa mbaya kama ingekuwa muslim and christian lakin ule sio udin ni udhehebu Vile vile tusiwe bias kwwnye uchambuz wa mambo kwan wengne wanazungumza kisukuma kwwnye kampeni sasa sijui kama huo sio ukabila lakn kwa wale wana saikolojia ni kwamba alikua...
Back
Top Bottom