ngonya
Member
- Nov 7, 2014
- 17
- 4
Ndugu yangu umejitahidi sana kupangilia mawazo yako lakini katika fact ya msingi ya matumizi ya lugha ya kiingereza nchini tanzania na kwingineko umechemka , kwani umeshindwa kwakua kiingereza ni rugha ya kujifunzia na kufundishia tofauti na nchi ulizo zihusisha hapo kwani wao hujifunza na kufundisha kutumia lugha zao .....by the way mtajwa hapo juu inawezekena amefikia level hiyo ya elimu kwa kuwa na cramming capacity kubwa....vinginevyo angekua vizuri katika lugha husika!!!!!!@$