Recent content by ngongeki

  1. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kwa kuwa pesa za kifisadi nyingi ziko majumbani, fanya hivi

    Dawa yake noti zibadilishwe
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kuna athari kwa mikoa kukosa uwakilishi kwenye Baraza la Mawaziri?

    Waziri ni kiongozi wa nchi na si mkoa, tuache sera za ukanda
  3. N

    JamiiForums Tanzania Uchokozi: Kutumbua majibu na hapa kazi tu ndiyo Falsafa ya Rais Magufuli na CCM?

    Ni ilani ya CCM, yatatumbuliwa yote!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mjadala: 'Sitawaaangusha' ya Rais Magufuli

    Mpaka sasa hajatuangusha
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Rais mstaafu Kikwete afiwa na dada yake

    Pole sana JK
  6. N

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo aiagiza TANESCO ishushe bei ya umeme

    Anaonyesha uzalendo wa hali ya juu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha sita: Lengo limetimia!

    BRN at work
  8. N

    JamiiForums Tanzania ukweli kuhusu ufaulu kidato cha sita kuwa juu na 0 kupungua

    Kama viwango ni tofauti kihivyo hatuwezi kusema ufaulu umeimarika
  9. N

    JamiiForums Tanzania PPFT: Askofu Kakobe usitumie mwavuli wa dini kuhubiri chuki na uchochezi

    Sasa hivi siasa kila mahali hata kwenye dini siasa inapamba kasi. Too bad
  10. N

    JamiiForums Tanzania Serikali Yabadilisha Viwango vya Ufaulu kwa Kidato cha Sita 2014: DIV I point 3-7

    Hivi huko siyo kuwachanganya vijana wetu kweli. Siku zote walikuwa wapi kutoa mwongozo mpaka wanasubiri mitihani imemalizika ndiyo mwongozo unatolewa? Duuh, yaani wamekumbuka shuka wakati kumekucha!!! si mchezo kabisa.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Serikali Yabadilisha Viwango vya Ufaulu kwa Kidato cha Sita 2014, DIV I point 3-7

    Hili suala la upangaji viwango vya ufaulu linafanyiwa usanii sana au hiyo ndiyo BRN?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa gpa kutumika kuchakata matokeo ya kidato cha nne 2014 na kidato cha sita 2015

    Ha ha ha hahaha!!!! kama habari ndiyo hiyo basi elimu kwishey, kila kukicha ni kupanga alama tu badaala ya kuangalia namna ya kuboresha miundombinu shuleni. Mmmmmh, mpaka kawambwa amalize muda wake wa uwaziri 2015 atakuwa ameifanyia KWELI sana elimu yetu kama alivyofanyia KWELI shirika la reli.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza viwango vipya vya alama za ufaulu elimu ya sekondari

    Wakuu viwango vya Kidato cha Sita vitakuwaje?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Alama mpya za ufaulu zapingwa

    Mkuu uliona mbali, hili jambo bado lina sintofahamu nyingi naipongeza Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii kwa kuingilia kati watanzania tuambiwe lengo hasa la kushusha hivyo viwango ni nini?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Madudu ya upangaji mpya wa Alama za mitihani CSEE!

    Haya madudu lazima yatawang'oa Kawambwa na Mulugo
Back
Top Bottom