Kuna athari kwa mikoa kukosa uwakilishi kwenye Baraza la Mawaziri?

mafutamingi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
2,773
2,183
Kuna dhana inayoenezwa kwamba mikoa iliyokosa uwakilishi katika Baraza la Mawaziri (BLM) itaathirika kwa njia moja au nyingine. Dhana hii ni potofu na haina ukweli wowote.

Waziri anapochaguliwa anakuwa na jukumu la kuongoza wizara yake katika kuelta maendeleo katika nchi nzima. Fursa hiyo haimpi kufanya lolote analotaka katika mkoa wake.

Mathlani kama ni suala la kujenga barabara kuna vigezo mbalimbali vinavyotumika kufikia uamuzzi barabara fulani ijengwe wapi na si utashi wa waziri husika. Kama kuna "leeway" ya waziri kupendela mkoa wake itakuwa ni ndogo sana.
 
hamna maana Katavi ingekuwa ulaya au Tabora walikuwa na waziri kila jimbo ila ni maskini wa kutupwa
 
Nikiiangalia Miundombinu Ya Chato Ilivyoimarika, Na Waziri Akiwa Magufuli. Nasema Hoja Bado Xana, Jiongezeni.
 
Back
Top Bottom