Recent content by ngong'0

  1. ngong'0

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuitwa kituo cha polisi

    Uende na mtu wa dhamana kabisa la sivo utalala ndani kimasikharaa ilinitokea juzii
  2. ngong'0

    JamiiForums Tanzania Enzi zetu bwana!! Mambo yalikuwa hivi...

    Kuwahi namba asubuhi,kidumu na ufagio lazima
  3. ngong'0

    JamiiForums Tanzania Nani Mkali wa freestyle kwa TANZANIA.? Kuna wa kumzidi CHIDI BENZI.?

    Chuma yupo central polisii dodoma toka juzi kashikwa na ngadaa,kaishaaa anatia hurumaa
  4. ngong'0

    JamiiForums Tanzania Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Steve nakuona kabisa na pumzi ya kuendelea ila basi tu,shusha vitu nione uwezo wa alphonce bhana nilale mie
  5. ngong'0

    JamiiForums Tanzania Jipatie bando la Tigo

    Sijasema GB 3 kwa elfu 30 soma vizuri acha kukurupuka mtoto wa kiume
  6. ngong'0

    JamiiForums Tanzania Jipatie bando la Tigo

    Nyie mnaangalia gb tu dk huonii na sms au mnawasiliana na GB tu wadau
  7. ngong'0

    JamiiForums Tanzania Jipatie bando la Tigo

    Pata bando dk 600 mitandao yote+3000sms+3GB mwezi mzima sh elfu 30 ( 0715387684)popote ulipo unapata
  8. ngong'0

    JamiiForums Tanzania Ninampinga Bashe kuhusu TTCL kama ifuatavyo

    Well said ila wachache ndio wataelewa,private sector always MD lazima awe foreigner sijui kuna kasumba gani hapaa, Kuna kampuni kubwa ya mawasiliano MD ameondoka wameleta MD mwingine toka ghana,ila na sisii watz tukipewa position kubwa tunajisahau tunaeka urasimu mwingi sana tumeshazoea...
  9. ngong'0

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    (Kamahivi)
  10. ngong'0

    JamiiForums Tanzania Jina la kitaalamu la tunda hili na mti huu ni nini?

    Vitohooo kwa kihehe
  11. ngong'0

    JamiiForums Tanzania Official video: Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage - Hallelujah

    Haka kadada kila kitu kanajua kenyewe mamaeeee zake na kanapenda neno lake ndio liwe sheria kakapigwe na wajapanii
  12. ngong'0

    JamiiForums Tanzania Offer:Router na offer ya 30 gb @10 gb each for 3 months

    Kama kawaida inategemea na mahitaji yako
  13. ngong'0

    JamiiForums Tanzania Offer:Router na offer ya 30 gb @10 gb each for 3 months

    Karibuni upate router ndogo ambayo uta connect watu 10 kwa sh laki moja ikija na offer ya 30GB ya mtandao wa tigo kila mwezi 10gb kwa miezi 3. Piga no 0715387684 mikoani tunatuma pia ukiitaji
  14. ngong'0

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuangalia youtube au streamed/live event from mobile phone to TV

    Uwe na wifi connection na simu yako nenda kwenye multi screen n tv yako iwe smart n.b ukitaka router ni Pm ambayo itakufanya ucconect tv na simu
  15. ngong'0

    JamiiForums Tanzania Wanaume waliowahi kuolewa au kufungwa Na wanawake

    Salama ninii maana ndio waheshimiwa huwa wanapendeza pale kwake uko vizuri na afya ulienda kuangalia Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom