Kitaaluma Mfaranyaki bado wana chechemea,nidhamu ya wanafunzi nayo ina walakini,walimu wanajitahidi kufundisha ila watoto ni majanga,walimu wao wengi pia ni masharobaro sijui kwasababu ipo mjini? Mfano jamaa mmoja anapiga gym anaitwa Kasambala,na dogo mmoja mwenye mwili mdogo (sijui...
Post yako nimeielewa sana kwasababu ni post nyepesi isiyo nihitaji kuumiza akili kuielewa,kwasababu ulicho kiandika ni mashudu,ki ujumla You have poor thinking capacity,kama umehitimu shule please rudi tu darasani because umetoka kapa
Sidhani kama ulicho andika ndio ulicho kimaanisha,umegundua umeandika pumba ndio maana unajitahidi kujisafisha na kujidanganya kuwa unatuelewesha Critical thinkers
Kwahiyo kasi ya maendeleo ya Viongozi wako CCM ina fanana na yako pamoja na wanachama wao? Hata kwenye suala la elimu na fikra...
Duuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhh,kweli hauna akili,kwahiyo unataka siku viongozi wa CHADEMA wakiwa ziarani nje ya nchi waende na raia wote? You must think like a grown man,siyo unakuwa na fikra fupi kama za kichanga,shame upon u
Hakuna cha BRN wala SRN, division zero zitakuwa kama za mwaka jana,so waache viongozi wetu wajipe moyo na BRN zao na kuwa sahau walimu ambao ndio washika dau wakubwa
Ushamba wao uko wap hapo? Nani mshamba kati yao na wewe unae andika post za kishamba kishamba? Peleka ushamba wako huko,hauna jipya zaidi ya ushamba ushamba ulio kujaa,Mshamba wewe
Majuzi ndio mdudu gani? Be specific na siyo kukurupuka with no reasons, Viongozi wa CHADEMA wanafanya kazi kwa umakini wa hali ya juu,kama unabisha kaulize kule kwenu Songea moto wa CHADEMA ukoje.
Kwisha habari yako,hivi una elimu gani wewe? Unajua unachokiandika kweli? Embu peleka akili zako za Class 7 huko kwenye majukwaa ya kitoto kama Facebook.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.