Tazara ilianza kudorola mwaka 1994, baada ya biashara ya shaba kupungua sana, na nchi ya zambia kujitoa kuagiza mahitaji muhimu ya nchi, kwa kiwango kikubwa TAZARA ikapoteza muelekeo, kwa kuwa ilikuwa ina safirisha 70% ya import and export ya Zambia, la pili haikujiandaa kwa ajili ya kusafirisha...