Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,918
- 13,235
Kwa wale wanaofauatilia mpira mmekuwa mkiona wachezaji wakiingia na watoto uwanjani hasa wenzetu wa ulaya. Je hii huwa Ina maana gani na kwa timu za bongo mbona sijawahi kuona wakifanya hivyo?