Catholic Cardinal admits Mohammed (PBUH) is ‘The True Prophet’ of God

Catholic Cardinal admits Mohammed (PBUH) is ‘The True Prophet’ of God

Status
Not open for further replies.

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,077
Reaction score
34,848
Catholic Cardinal admits Mohammed (PBUH) is ‘The True Prophet’ of God.jpg

Washington: Theodore McCarrick, served as Archbishop of Washington, D.C from 2001 to 2006, and was elevated to the cardinalate in 2001. In Catholic theology, to be a prophet, to earn that title, one must be divinely inspired.

In a press conference in D.C, Catholic Cardinal Theodore McCarrick offered Islamic religious phrases and insisted that Islam shares foundational rules with Christianity, on Sept. 10

In a meeting organised by the Muslim Public Affairs Council, McCarrick introduced himself after followed by the words: “In the name of God, the Merciful and Compassionate”

McCarrick further compared that the above mentioned verses which are the important phrases in Islam, and are found more than 100 times in the Koran, are also similar to the Catholic prayer i.e “In the name of the Father, and of the Son, and of the Holy Spirit.”

“Catholic social teaching is based on the dignity of the human person… [and] as you study the holy Koran, as you study Islam, basically, this is what Muhammad the prophet, peace be upon him, has been teaching.” McCarrick further claimed.

McCarrick is one of the 213 Cardinals of the Catholic church, but is too old to vote in church debates. source.Catholic Cardinal admits Mohammed (PBUH) is ‘The True Prophet’ of God - The Siasat Daily
 
Hizi habari hawazipendi wenyewe, ngoja waje kuharibu uzi mpaka ufutwe
 
Ni mtu huyo na ana uhuru wa maoni. Naona wadau wanachachawa kama kauli imetoka kwa Maulana moja kwa moja, kumbe huwa mnawaheshimu na kuwaamini sana makardinali ila ni kibri tu.
 
Watu kama hao ni madhara ya kusoma sana mpaka wanachanganyikiwa
Whats wrong with his perception..?? Don't you even think why are you callin' JESUS as the SON OF GOD?? Go beyond man.. Try to read HOLY QURAN and you may find more new that you didn't know about Muslim... Mishipa inakusimama kwa kauli hiyo?? Nipe sababu 5 za kwanini Yesu ni mtoto wa Mungu, na kwanini ADAM na EVA wasiwe watoto wa mungu ikiwa wote hawana wazazi timilifu.. yaan Yesu anaye mama na baba hana, Adam hana baba wala mama, Eva anaye baba lkn mama hana.. So kwanini Yesu aonekani ni mtoto wa mungu??
 
Pole Sana. Jesus is Son of God and our lord savior indeed. Believe it and receive!
 
Pole Sana. Jesus is Son of God and our lord savior indeed. Believe it and receive!
Leta reasons?? Sio povu lakutoka tuu.. Nani kasema Yesu ni mtoto wa mungu au Yesu ni mungu?? Na je ushawahi kujiuliza kama Yesu mwenyewe ashawahi isoma biblia?? Nani kaandika biblia ikiwa ndani yake kuna maelezo ya namna alivyozaliwa hadi kufa kwake..?? Na je una uhakika gani kama aliyeandika biblia ni mtu sahihi kuaminiwa na watu?? Kabla hujatoa hoja jitathmini kama una ufahamu mkubwa wa hayo mambo au la..
 
Kwangu Yesu ni Bwana na mwokozi wa Maisha yangu. Pole sana kijana.
 
Kwangu Yesu ni Bwana na mwokozi wa Maisha yangu. Pole sana kijana.
Hauna sababu hata moja ya kumfanya YESU awe MUNGU.. we unafata mkumbo tu.. Sasa leta nikufundishe kitu ndugu yangu.. Yesu ni Moja kati ya mitume/manabii wa Mungu.. Sio Mungu wala sio Mtoto wa Mungu.. Tangia lini MUNGU akasali?? Anamuomba nani ikiwa yeye ndo mwenye mamlaka?? Hivi kwanini hamtaki kujiuliza maswali mepesi kiasi hiki..?? Hatusemi ukristo sio dini la hasha.. lkn Kinachopigwa ni Kwamba kwann binadamu mwenzako aliyeumbwa na kuzaliwa kama wewe umvike Cheo cha UUNGU?? Sasa unapaswa kukaa na kutafakari sana.. MUNGU HAWEZI KUWA KATIKA PANDE MBILI YAANI MTU NA WAKATI HUO HUO AWE MUNGU..
 
Mimi staki sasa, kwani lazima mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]! Kwangu Yesu ni Mungu. Pole tena
 
Et nilisoma bustan ya eden ipo kushi.. Ethiopia ni kweli,
 
Lakini kabla ya wazungu kuja c tulikuwa na madini yetu,na wazee wetu wakiomba vitu kama vua, inanyesha mda huohuo lakini waarabu na wazungu wameleta dini zao,maimam na mashekh,wachungaji na mapadre hata waombe uchi mvua haiji hata manyunyu kwanin?
Tena hao ndo waliwatesa mababu zetu.
 
Waislamu buana...
Kadinali kasema mohd ni nabii wameshangilia...
Kadinali kasema In The Name of The Father, The Son and The Holy Spirit.. bado hawaelewi tuu kuwa Yesu Ni Mungu. Tunawaambia kuruani hawaisomi wenyewe na Kadinali kawathibitishia kuwa Kuruani tunaijua.

Mohd was a good prophet in Mekkah hadi alipohamia madina na kuwa the prophet of the darkness.

Kadinali amegusia upande wa Makkah tuu.
 
Waafrika bwana mshaanza kugombana kisa midini iliyoletwa kutoka nje
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom