Hivi tunaelewa nihni maana faida?Barric ni wajanja,wangeweza kusema watatoa hata 80% ya faida kwani wanajua wanauwezo wa kuweka mahesabu yao kuonyesha kupata hasara kila mwaka
Vibweka vyote hivi wanavyofanyiwa cuf ni maandalizi ya uchaguzi 2020.Maalim Seif ameitesa sana ccm kwenye chaguzi Zanzibar.Hivyo.dola linataka kumhalalisha kwa nguvu lipumba ili aje amkate maalim asiwe mgombea urais znz ili ccm pressure iwashuke
Hapa naona kunatatizo la ufahamu wa lugha nchi kujitawala haimanishi kujikomboa.Ukombozi una eneo pana sana Ukombozi umo hata kwenye familia iwapo familia inakabiliwa na tatizo Fulani na ikaweza kutatua tatizo hilo basi itakuwa imejikomboa ktk tatizo hilo. Hata nchi zilizopata Uhuru na...
Kama ni kweli wametoka kibiti basis wana mtandao mkubwa sana! Silaha walizo tumia walifikazo vipi Mwanza toka kibiti au huko mwanza kuna hazina yao? Kama jibu no ndio hivi hawatakuwepo na sehemu nyingine
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Haya ni mawazo duni ksbisa! Bashe haikandii ccm bali anaisaidia inaonekana wewe ni miongoni mwa wana ccm wanaodhani wako sahihi kila wakati na wasiotaka kusahihishwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.