Unazungumzia sehemu nyeti na eneo hilo halihami,
Rais anafanya mkutano kwa muda kisha anaondoka eneo hilo ila anapokuwa eneo hilo huruhusiwi kuchukua picha
Kuna athari gani?!
Kwa baadhi ya ziara za Mhe. Raisi wa JMT nilizoshuhudia hususan nilizokuwepo eneo la tukio, nimeona wanausalama katika misafara hiyo wakikataza Raia kuchukua picha mnato au mjongeo.
Aidha endapo afisa usalama atakuona ukiwa umeshapiga picha atakushurutisha ufute pocha hiyo ktk simu yako au...
...Yale mabango ya barabarani hapo awali yalikuwa yanatozwa na halmashauri ya mji/manispaa/Jiji. (Sina uhakika ikiwa tozo hizo bado zinatozwa na local Government).
Ikiwa bado zinatozwa na local Government maana yake kila Halmashauri itakuwa na kiwango chake kwa mujibu ya sheria ndogo ndogo...
Wengi wao nguvu zipo mdomoni!
Sasa inakuwa amekuudhi sana hasira ina kujaa karibu kupasuka., unapojaribu kujituliza anakujaza na maneno ya shombo! 'Kama we mwanaume kweli nipige'. Dah!!
uliwahi kutengeneza mtu akafanana na wewe
pia ukampa na pumzi ya ya uhai?
kama hujaweza wewe nani uliwahi kumwona amefanikiwa kufanya hvyo?
huwezi na hayupo kati yetu wa kufanya hivyo je aliyetufanya tuwe tulivyo ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.