Recent content by ngokowalwa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe shemeji ana jamaa pembeni mbali na ndugu yangu

    inaonesha nyuma ya mawazo yako ni hiyo '... mizunguko ya kuzidi feni ...' ndo imekukaa na nado mwelekekeo.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kura ya kupitisha bajeti yapigwa bila kambi ya upinzani kuwepo bungeni, yapita kwa kishindo

    Shakani kwa kuwa Naibu spika anaendelea au kwa bunge kupitisha bajeti. Nilidhani waliotoka wanaendelea na utaratibu wa kumtoa naibu spika na si kukwamisha au kusimamisha vikao na taratibu za bunge muda ukifika hilo wanalopigania litafikiwa na matokeo yataonekana .
  3. N

    JamiiForums Tanzania Viwango vya gharama daraja la Kigamboni ni uhalifu dhidi ya ubinadamu

    Bahati njema Ferry bado zipo zinatoa huduma tutaendelea kuzitumia kuliko kutumia daraja . best option ni kuacha gari ng'ambo unavuka ukirejea maisha yanaendelea ..
  4. N

    JamiiForums Tanzania Viwango vya gharama daraja la Kigamboni ni uhalifu dhidi ya ubinadamu

    Hakuna Mabasi ya abiria yenye njia ya kuvuka Kigamboni hivyo hesabu unazojaribu kutuamisha ni za kufikirika .
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwani mradi wa DART umeishia wapi?

    Wakuu wa DART wako Mahakamani
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwa habari ya Zanzibar: Kama vipi kila mtu arudi kwao!

    Sidhani kama ni sahihi kusema watu wa asili fulani warejee walikotoka. kwanza lazima tujue hawa wanaoitwa waarabu zenji ni mchanganyiko wa wabantu na hao waarabu tena vizazi kadhaa vya nyuma kiasi cha kwamba walisha undergo genetic segregation kiasi cha kuwa viumbe unique wanaopatikana zenji tu...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Sina hisia zozote naye za mapenzi ila yeye ananipenda, nifanyaje?

    Ng'wizukulu Jilala mbona alishamaliza kazi yake duniani na kupumzika siku nyingi akiwa kule Angola
  8. N

    JamiiForums Tanzania Giza ni nini?

    Chanzo cha giza ni Ibilisi , mtu aliye gizani kwa mtazamo huu hata kama ukimulika mwanga kwa kiasi gani bado hataona na kufanya kilicho sahihi bali atatenda kile ambacho wanaomwangalia watasema ' huyu yuko sawa kweli ' maana Ibilisi kampofusha .
  9. N

    JamiiForums Tanzania Chama changu CHADEMA, kwa mwendo huu tutachokwa

    Bahati nzuri umri wa mwanachama si kigezo cha kumpa haki zaidi mwanachama wa Chama chetu. aliyeingia leo nia sawa na mwanzilishi
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mbinu mpya ya CCM imegundulika

    Mwacheni Nixon Tugara Anafuta nyayo za mzee wa safari ya matumaini
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Mwandishi alibezwa na kupuuzwa sasa yametimia tunabaki kujivua ufahamu kwa jinsi hii tunahitaji kuwa makini kuwajua wenye nia nzuri na wenye kupenda kuturudisha nyuma kwa maslahi yao.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakujiandaa kuwa rais, atatuangusha tu

    Labda mafuriko ndo dira , speech zake zote sijamsikia akitoa dira
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kutopandishwa cheo kipindi chote, sababu kubwa

    Jamaa argument zake zinatia shaka kama zinatolewa na Dr..; Natumai aliyemteua naye kajua jamaa alikuwa mzigo
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wanawake wanajitongozesha kwa Watumishi wa Mungu?

    Hapo kwenye RED nimekupata vizuri afrodenzi
  15. N

    JamiiForums Tanzania Masaburi Fashion SHOW...

    Je kama ndo anachokitaka
Back
Top Bottom