Mbinu mpya ya CCM imegundulika

Mbinu mpya ya CCM imegundulika

ukubwa jembe hawa MaCCM wametengeneza rasmi mchepuko ACT wakijua lazima watu wasio na hekima wakikosa watakalo CDM watakimbilia huko ACT!!
Uone sasa usaliti wa Zito maana nia yao ni kupunguza nguvu na kura za UKAWA!!
Kwani huyu Zito anapata faida gani kama si kuipigania CCM ibaki madarakani??
Kama sio kuwasaliti Watanzania ni nini??
 
Last edited by a moderator:
Nimefuatilia kwa makini mambo yanayoendelea kisiasa na sasa nimegudua ACT ni chama kinachoivuruga CDM kwa mtaji wa CCM maana sasa wale wategemewa wa cdm wakishidwa kura za maoni wanashidwa kuvumilia.

Hapa jimbo la Ukonga leo Nixon Tugara Amehamia rasmi ACT na atagombea ubunge jimbo la Ukonga.
Bado najiuliza tamaa za nini maana huku ni UKAWA ndio imetawala na kama sio kutafuta kugawanya kura ni nini hasa kinatafutwa.

Jerry Slaa anajua moto wa kamanda Wetu Mwita Waitara ambae bila kuja kwa Nixon tayari Jerry alishasalim amri.
Makamanda kukosa ubunge sio mwisho wa maisha lazima uwe na malengo zaidi ya kuangalia Ubunge tu.
Labda tujiulize hivi ukikosa ubunge na wa ccm akapata wewe ACT utafurahiya?
Acheni tamaa
Huo ni upungufu wa kufikiria

Kweli wewe ndio unaupungufu wa kufikiria. Sio wakati wote lazima upost kitu. Unaweza kuwa msomaji tu. Hii inaitwa demokrasia. Kila mtu anahaki ya kujihusisha na chama anachotaka. ACT kwa taarifay yako haiko kwenye muungano wa UKAWA. Acha kuwa kama mbuzi.
 
Nimefuatilia kwa makini mambo yanayoendelea kisiasa na sasa nimegudua ACT ni chama kinachoivuruga CDM kwa mtaji wa CCM maana sasa wale wategemewa wa cdm wakishidwa kura za maoni wanashidwa kuvumilia.

Hapa jimbo la Ukonga leo Nixon Tugara Amehamia rasmi ACT na atagombea ubunge jimbo la Ukonga.
Bado najiuliza tamaa za nini maana huku ni UKAWA ndio imetawala na kama sio kutafuta kugawanya kura ni nini hasa kinatafutwa.

Jerry Slaa anajua moto wa kamanda Wetu Mwita Waitara ambae bila kuja kwa Nixon tayari Jerry alishasalim amri.
Makamanda kukosa ubunge sio mwisho wa maisha lazima uwe na malengo zaidi ya kuangalia Ubunge tu.
Labda tujiulize hivi ukikosa ubunge na wa ccm akapata wewe ACT utafurahiya?
Acheni tamaa
Huo ni upungufu wa kufikiria

Hata wakigawanya hawagawanyi tu kwa cdm ni kote lkn mwsho wa cku ukawa tutashinda.
 
Nimefuatilia kwa makini mambo yanayoendelea kisiasa na sasa nimegudua ACT ni chama kinachoivuruga CDM kwa mtaji wa CCM maana sasa wale wategemewa wa cdm wakishidwa kura za maoni wanashidwa kuvumilia.

Hapa jimbo la Ukonga leo Nixon Tugara Amehamia rasmi ACT na atagombea ubunge jimbo la Ukonga.
Bado najiuliza tamaa za nini maana huku ni UKAWA ndio imetawala na kama sio kutafuta kugawanya kura ni nini hasa kinatafutwa.

Jerry Slaa anajua moto wa kamanda Wetu Mwita Waitara ambae bila kuja kwa Nixon tayari Jerry alishasalim amri.
Makamanda kukosa ubunge sio mwisho wa maisha lazima uwe na malengo zaidi ya kuangalia Ubunge tu.
Labda tujiulize hivi ukikosa ubunge na wa ccm akapata wewe ACT utafurahiya?
Acheni tamaa
Huo ni upungufu wa kufikiria

Mwacheni Nixon Tugara Anafuta nyayo za mzee wa safari ya matumaini
 
siasa za mwaka huu hata league ya Bundesliga haioni ndani.
 
ukubwa jembe hawa MaCCM wametengeneza rasmi mchepuko ACT wakijua lazima watu wasio na hekima wakikosa watakalo CDM watakimbilia huko ACT!!
Uone sasa usaliti wa Zito maana nia yao ni kupunguza nguvu na kura za UKAWA!!
Kwani huyu Zito anapata faida gani kama si kuipigania CCM ibaki madarakani??
Kama sio kuwasaliti Watanzania ni nini??

LIPUMBA ALISHAONGA MADHARA YA CCM B ; SERIKALI YA UMOJA

CUF = CCM B
UKAWA = CCM A

By Ibrahimu lipumba & slaa
 
Back
Top Bottom