Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,971
Unaweza kunilaumu upendavyo, kwamba ni mbaguzi lakini hali ilivyo Zanzibar ni kwamba Waarabu au wenye asili hiyo hawaivi kabisa na Wabantu au Wazanzibara kama ukipenda! Waarabu wanataka kudominate Zanzibar dhidi ya Wabantu. Waarabu hawataki Muungano kwa kuwa utawafanya wawe chini ya Wabantu ambao ni Wabara! Wabantu nao wanawaona Waarabu kuwa ni wa kuja tu, wanahofia kuwa watarudisha mamlaka ya Kisultani Zanzibar.
Nasikia Maalim Seif alipojitangaza mshindi Zanzibar, huko Oman walifurahi sana kwa kuwa waliona walichokisubiri muda mrefu kiko mlangoni. Well, whether hicho ni kweli au la sina uthibitisho kamili, lakini lililo dhahiri ni kwamba Zanzibar kuna "Uarabu" na "Uafrika", that is it! Mengine yote ni cosmetics tu!
Wayahudi walikaa Ulaya kwa karne nyingi lakini walipoona wanaonewa na Wazungu, hasa Hitler alipowaua Wayahudi wapatao milioni 6 waliamua kurudi kwao na kuunda taifa jipya la Israel mnamo mwaka 1948, as simple as that!
Huko Zanzibar nako kama kuna watu wanahisi wanabaguliwa kwa sababu ya asili walikotoka sioni kwa nini wasiwaige Watahudi wakarudi kwao, as simple as that! Sio lazima wakaunde Taifa, wanaweza kujichanganya na "wenzao" maana birds of the same feather flock together!
Ujumbe ulishatolewa na CCM, japokuwa radhi iliombwa baadaye lakini message ilikuwa "SENT AND DELIVERED" kwamba Waarabu au wenye asili ya huko hawana chao Zanzibar, implication ni kwamba warudi home! Ni mawazo yangu anyway, I may be wrong!
Yule mama Asha, marehemu, naye alidai kuwa CCM haiko tayari kukabidhi Zanzibar kwa njia ya karatasi, CUF sijajua kwa nini hawataki kuelewa somo ambalo hata Jecha ameliendeleza, Magu mwenyewe amedai atalinda nchi dhidi ya wanaoleta fyoko fyoko, "mpaka PEMBA!"bado somo halipandi tu? Things are more complicated than you might thought! Fikirieni Plan B ya kurudi HOME, otherwise mkubali kuwa chini ya Wazanzibara!