Recent content by Ngoiva

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata video ya kilichotokea bungeni November 20

    nitumie kiongozi 0789 578325
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwa heri mie nimeamua kujinyonga-Wakili Nyaronyo Mwita Kicheere

    mwanaume hashikwi ----.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Chadema baada ya kuwafukuza madiwani wao Arusha sasa wanataka walipwe pesa

    mkuu vp, ile ahadi yako ya kuwaletea/kuwawekea mawakili toka nje ya nchi umeishia wapi? Au ndo yaleyale. Basi wasaidie kuwalipa hizo gharama.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kazi ya sensa watu wa Arusha vipi?

    jamani madiwani wamechakachua majina. F4 apata degree akosa.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kazi ya sensa watu wa Arusha vipi?

    wandugu vp! Hamjatembelea wale jamaa wa sensa. Ebu mtujuze.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kazi ya sensa watu wa Arusha vipi?

    A town hadi jana saa kumi na moja bado hawajatoa.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kazi ya sensa watu wa Arusha vipi?

    vp wakuu mliopo Arusha mjini hiyo nafasi ya sensa vp, wameshatoa majina.?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Makinda "tayari" bado werema, muungano ni dhaifu kuliko wakati wowote uliopita "tundu lissu"

    sema kweli! Unataka kusema kakosa vitu vya ukweli.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afunguka bungeni

    kwani magazeti hutoa habari za uwongo? Kama magazeti yanatoa habari za kweli basi LISSU yuko sahihi.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hivi vitambulisho vya utaifa na makazi vinauzwa?

    mkuu liver, kama uko arusha, tembelea kata ya TERRAT, KIJIJI CHA MKONOO pale centre.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hivi vitambulisho vya utaifa na makazi vinauzwa?

    aisee hapa si bure. Nisaidia namba za TAKUKURU ili wabanwe.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hivi vitambulisho vya utaifa na makazi vinauzwa?

    Wandugu hili nimeuliza baada ya kuona vikiuzwa kwenye stationary moja hapa A.town. Ila niliwahi kusikia waziri wa mambo ya ndani akisema vitatolewa BURE. Naomba jibu.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uchaguzi Tandahimba ni Leo: Watu wanaelekea mahakamani hapa Mtwara Mjini

    nasikia mke kambania mmewe, kwa hiyo piga ua ni talaka tu. MTAFUTENI BABA PAROKO ASULUHISHE HII KESI YA NDOA. UNYUMBA UNATAABU KWELIKWELI
  14. N

    JamiiForums Tanzania Duka la vitabu vya sheria

    Umetokeza mkuu!
  15. N

    JamiiForums Tanzania Duka la vitabu vya sheria

    WanaBodi naombeni msaada. Maduka yanayouza vita vya SHERIA kwa MOSHI na ARUSHA ni wapi. Ninavihitaji sana.
Back
Top Bottom