wanabodi,
chama cha demokrasia na maendeleo chadema, kimewataka madiwani watano walioshindwa kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama kulipa gharama za kesi hiyo kiasi cha sh15 milioni la sivyo watapelekwa magereza.
Katibu wa chadema mkoa wa arusha, amani golugwa alisema suala la kulipa gharama madiwani hao ni sio la hiyari ni lazima. Madiwani hao ni estomih mallah, john bayo, charles mpanda, reuben ngoi, rehema mohamedi.
Source: Mwananchi septemba 22 2012.
My take...chadema kuweni na ubinadamu madiwani mmewafukuza bado haitoshi mnataka wawalipe pesa.
mkuu vp, ile ahadi yako ya kuwaletea/kuwawekea mawakili toka nje ya nchi umeishia wapi? Au ndo yaleyale. Basi wasaidie kuwalipa hizo gharama.