Lissu ni mropokaji tu hajui sheria, isipokuwa anajua uropokaji wa sheria na kiingereza chake ni cha kuunga unga, ni janga la kitaifa Lissu, Tundu ni mfa maji haichi kutapa tapa
Kwa kweli hata mie nimemshangaa Tundu Lissu msomi wa sheria anakwenda kufanya reference kwenye magazeti ya udaku, magazeti yenyewe ndio haya Tanzania Daima, Uhuru, Kiu.
Leo nimeshangaa sana tundu anatumia magazeti kukazia ushahidi wake kwa kuwataja watu walimtesa Dk ulimboka kwa kutumia magazeti, leo hivi kesho si atatumia magazeti ya UDAKU?
Inashangaza sana AG kutoka katika debeta premises na kuingia personal vendatta.Hiyo ni dalili ya inferiority complex
Nilishasema inabidi kesi zake nyingi alizohukumu zipitiwe upya kwa sababu mara nyingi ameonyesha incompetency ya hali ya juu
Wengine hawalijui hili , ngoja pro cdm uwaone watakavyo kuijia juu, ila kiukweli jamaa leo kaaibisha sana, jamaa ni mchovu sana wa sheria. Na Lissu ni mtaalam wa sheria za mazingira na si mtaalam wa sheria za katiba
Labda Ni jembe la kulima kwenye kinyesi
Leo nimeshangaa sana tundu anatumia magazeti kukazia ushahidi wake kwa kuwataja watu walimtesa Dk ulimboka kwa kutumia magazeti, leo hivi kesho si atatumia magazeti ya UDAKU?
Hongera sana Tundu Lissu, mwisho wa UJINGA huu wa CCM ni katiba mpya.
Hivi yule FUNDI MCHUNDO Stella Manyanya alikuwepo? Tunaomba mtywekee hiyo hotuba ya Tundu Lissu hapa JF
hiki ni chama kipya? kina usajili wa kudumu au wa muda? funguka